Naomba nitambue uwepo wa members wote wa ke/me katika suala hili kuntu la kutendwa,itoshe kusema itifaki imezingatiwa.
Moja kwa moja kwenye mada,suala la mahusiano la kimapenzi linapitia katika changamoto nyingi sana.Pamoja na changamoto hizo hakuna maumivu makali yanayouma pale inapotokea mmoja wenu anatendwa bila kutarajia.Hivyo kwa mantiki hii naomba wale wote tuliowahi kupigwa kibuti tupeane kasoro za sababu zetu za kutendwa na nini kifanyike ili tujirekebishe,
Ahsanteni,sasa naomba tuanze kutiririka