Tuliowahi kutendwa/kupigwa kibuti tukutane hapa

Nilipigwa kibuti cha ghafla mwaka 2012 aliyenipiga buti ni single mpaka Leo.Hakuwai kuniambia sababu niliamua kuwa rafiki yake Nate in rafiki yangu up to this time around but anadai aliahirisha kuolewa anafanya mengine.Ameniacha hoi kwani haniambii sababu za waziwazi kwanini alinibutua na kwanini haolewi
Kuna watu sio wazima kiakili ni vile tu hatuna utaratibu wa kwenda kuwaona wataalamu wa maswala ya matatizo ya akili.

Sasa ukisikia kauli kama hizo binti anasema mimi sina mpango wa kuolewa jua hapo upo na mtu ambaye hayupo sawa kiakili.
 
Back
Top Bottom