Tuliowahi kupewa hela na wanawake

Hawa wenzetu ukitaka uwatendee vile wanavyokutendea hamwezani,
Hiyo 70k simlipi siyo kwa sababu sina no,huyu ni mzazi mwenzangu na ataendelea kuwa mama wa mwanangu milele,hata kama aolewe na bwana mwingine still ni mama wa mwanangu tu,
Hivyo hata kama nikimpa hiyo 70k siyo kwamba ndiyo utakuwa mwisho wa kumsaidia pale atakapokwama nitafanya hivyo pale nipatapo nafasi,akidai pesa yake huwa nacheka tuI know that lady.
na ww dai samani za ndani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we paka shume kweli, umeelewa hata au kufikiria critically au umebweka tu kama mbweha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni mara ya kwanza naambiwa maneno makali kiasi hichi.!
Nisamehe Mimi bure Mr. Billions, sina tatizo nawe and this ain't even personal.!
I'm so sorry.!!
Ooow! Such amazing soul,
Bless you Carleen,
Am sure amejidharau sana huko alipo.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Ila vijana wa kiume siku hizi wamekuwa na tabia za kike kutaka kudate na wanawake wenye hela ili wahongwe,yy msingi wake kiuno tu basi.
 
mjomba sio hela tu hadi nguo tunanunuliwa jambo la kwaida mkuu sema nn usoneshe kuwa unanjaa sana hakupe kwa mapenzi yake poa sio omba omba tena na hakikupa ww unaongeza zaid ya ile mambo yankwenda poa sana
 
Back
Top Bottom