Tuliowahi kupewa hela na wanawake

Wacha kuhalalisha huu upuuzi ndugu. Wanaume tunapaswa tutafute pesa.Ukishindwa kabisa unatakiwa uendelee kutafuta tena na tena.
Mpenzi wako akupe pesa kwa kupenda tu wala sio kwa kumuomba wala kumuonyesha waziwazi kuwa unatamani akupe pesa.
Usije ukafundisha watoto wako hivyo, utatuharibia Taifa.
 
mimi kuna manzi aliwahi kunipa laki nne enzi hizo nimefulia, akaniambia ziwe zinanisaidia matumizi madogo madogo,nilizipokea kwa aibu ila nikajisemea tu kuwa siku mambo yangu yakiwa fresh nitamlipa tu hizi pesa zake hata indirect ways..basi ingawa tulikuja kupotezeana ila nilijaribu kumtafuta tena baada ya mambo yangu kukaa poa,tukadate for sometimes nikawa nampa pesa za shopping,mara tukaja shindwana tena.ndio mpaka leo hatujatafutana hivyo.
 
Wewe ndo mwanaume.
Umeandika.
Achana na hao watoto wa kiume wanaojisifia kupewa hela na wanawake zao.
 

Mwanamke akimpa tu mwanaume hela yake, kila akimuona huyo mwanaume na huko chini panakuwa pakavu kuliko jangwa la sahara Kasie
 
Zamaani wakati bado mtoto kuna kijana nilikuwa na mahusiano nae, siku moja alienipigia simu akasema ameenda kwao amekuta wamekatiwa umeme mita ilikuwa na deni sijui ilikuwaje sikumbuki vizuri. Inatakiwa walipe elfu themanini kama sikosei na yeye pesa hana.... akasema niazime pesa nitakurudishia mshahara ukitoka. Nikamtumia na nilipanga nimpe tu ila yeye sikumwambia, kama mkosi vile ndani ya kipindi kifupi mahusiano yakaanza kuyumba na pesa yangu hata hajaonesha nia ya kurudisha, nikamkumbusha akaanza kupiga chenga ooh sina hela sasa hivi hela yako nitakulipa, nikamwambia nilipe sasa hivi. Akaanza kutoa povu nikasema hata sijali, fanya unilipe. Ooh basi ngoja nikope nikulipe,nikasema fanya hivyo. Alinirudishia huku ananisimanga, ndio tukawa tumemalizana. Hapo sikumhesabia elfu tano tano alizokuwa 'anaazima' bila kurudisha.

Alaa kumbe wameulizwa wanaume


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji pesa mpenzi hata ya pipi tu darling.. nipo hapa naisubiri sauti yako itete kwa ombi la kunikubalia my sweet love..
 
Shida ya wanawake hua ni kama wanawekeza na watakuja kutoa baadae,isipokua ni afadhari kuiepuka pesa ya mwanamke,hua inakuja kua na shida sana na hili ndo linawasababisha wao leo hii kua wanapigwa na kuachwa maana wanaomba omba sana pesa na baadhi ya wanaume wakiombwa pesa wanawaacha hapo na kuwablock mawasiliano..kiufupi wanawake wana mapungufu makubwa sana juu ya uhitaji wa pesa

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Female figure with a good soul.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Acha waombe kwani we ukiomba unakuwaga kilema? Si mnataka 50/50 mtakoma, mambo yamebadilika jitambue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa inatokea japo ni rare sana wakati nasoma kuna mchaga mmoja mlokole alinielewaga alafu yuko mbali anapiga simu kama ugomvi akiuliza hujala nikisema ndio ntakula badae hela ipo usijali baada ya dakika chache nakutana na sms ya IMETHIBITISWA alikua anajitoa mno
 
Nilikuwa nampa hela ex wangu nilimsaidia sana alipokuwa na shida ila upuuzi alionifanyia inaumiza xana apa moyo umekufa ganzi aisee

time will tell
 
We unadhani kila mtu hakwami ?anapokusaidia na yeye anajua siku akikwama mtu wa kwanza kumsaidia ni wewe,hiyo hata si kuhongana,hivi mfano unamwona mpenzi wako kakwama na anashida we unamwangalia tu?we unadhani je siku we ukikwama atakusaidia nani.
Naomba nitoke nje ya mada,

Hii tabia ya wanaume kuomba omba hela imetoka wapi.? Mbona inazidi kushamiri.?
Wanaume kazi ya kuomba omba pesa mtuachie tu siye, ninyi hampendezi walaqhi'..!!

MONEY STOP NONSENSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…