Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,043
Mi kuna ndugu yangu siku hiyo kanipigia simu nimekaa sehemu nikawa sijisikii kuongea nae nikajua labda ana shida anataka kuanza kunisumbua. Basi nikawa naiangalia tuu mpaka inakata. Kapiga tena ikawa hivyo hivyo. Akanitumia meseji "Niko kwenye hii gari iliopaki hapa mbele yako. Naona unaangalia tu simu hupokei. Nilikua nakusalimia tu"
Daah niliishiwa pozi nikakosa ata cha kumjibu. Tangu siku hiyo hajawahi kunipigia na hata nikimtumia meseji hajibu.
Ni ile situation mtu anakupigia Simu then unamjibu umesafiri mkoa mwingine kumbe anakuona wakati anakupigia,au ile mtu anakupigia unamwambia upo mkoa mwingine then baada ya nusu SAA mnakutana!
Tupe mrejesho ilikuwaje!!
Sent by Diaspora
Huyu atakuwa kweli alikuwa msumbufu, so siku aliyogundua kwamba huwa anakukera, aliumia sana.Mi kuna ndugu yangu siku hiyo kanipigia simu nimekaa sehemu nikawa sijisikii kuongea nae nikajua labda ana shida anataka kuanza kunisumbua. Basi nikawa naiangalia tuu mpaka inakata. Kapiga tena ikawa hivyo hivyo. Akanitumia meseji "Niko kwenye hii gari iliopaki hapa mbele yako. Naona unaangalia tu simu hupokei. Nilikua nakusalimia tu"
Daah niliishiwa pozi nikakosa ata cha kumjibu. Tangu siku hiyo hajawahi kunipigia na hata nikimtumia meseji hajibu.
Huyo mjinga akwende. Je kama ulikua na dada yake ndani. Stupid people deserve stupid reactions.Mi ilinitokea juzi juzi,,,nipo geto jamaa kaja kunitembelea bhana....sasa kabla hajafika mlangoni akasimama dirishani kwangu nakunipigia simu...
Yeye:: Hallo vp mwanangu....uko wapi.
Mimi:: Aah mwanangu bado sijarudi toka kazini nipo hapa nimechoka kinoma.
Jamaa akanambia "" basi bhana nlitaka kuja geto kwako,,,
Nikamwambia "sipo" afu nikakata simu huku nikijisemea kwa sauti """ kwenda zako huko, kwako hapakaliki!!?? Afu nikasonyaaa......
Kumbe jamaa yupo dirishani ananisikia....
Daaaah ghafla nikashangaa dirisha la aluminium sasa kile kipande cha wavu kinaburuzwa twaaaaaaa.........daaaah mshkaji nikagongana uso kwa uso huku nikiwa nimejilaza tu kitandani....
Nilipata tabu sana kumuweka sawa jamaa....alichukia sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli kakaHuyo mjinga akwende. Je kama ulikua na dada yake ndani. Stupid people deserve stupid reactions.
Ukweli utakuweka huru siku zote za maisha yakoNi ile situation mtu anakupigia Simu then unamjibu umesafiri mkoa mwingine kumbe anakuona wakati anakupigia,au ile mtu anakupigia unamwambia upo mkoa mwingine then baada ya nusu SAA mnakutana!
Tupe mrejesho ilikuwaje!!
Sent by Diaspora
ilinikuta ijumaa ya wiki iliyopita tar 12/04/2019,alhamis yake nilikuwa Dodoma had saa mbili usku na mchumba wangu alikuwa analijua hilo maana nlienda kuonana na dada alikuwa na tatizo,mchumba wangu akiwa anajua kabisa niko dodoma na kesho yake (ijumaa yenyewe) ilikuwa niende kw mchumba wangu huko kiomboi-iramba,,,, usku huohuo nikapigiwa sim nyumban (bariadi) kuna shida very serious, basi bhn ikabid niamshe usku huo had bariadi bila kumtaarifu mchumba wangu ili nilkuwa sijafuta mpango wa kwenda iramba hyo ijumaa,nilifika bariad saa kumi na moja alfajiri, tukakaa Tukaweka sawa lile tatzo nikaanza utaratb wa kuelekea kiramba mda huohuo,sasa bhn mchumba wangu alikuwa anapiga sim muda wote kutaka kujua naendeleaje maana tuliisubir kw Ham sana hii siku ya kuonana kwetu,sim yangu ilipata shida nikaazma ya Dogo flan nikaongea nae nkamwambia ndo nataka nianze safar ya kuja kutokea Dodoma, bhanabhana nikiwa njiani nakarbia tinde akaniuliza luv umefika wapi nkamjib njia Panda ya itigi kumbe midamida aliipigia sim ya dogo akaambiwa amewasha gari saa kumi na moja akaondoka huku bariadi,akili yake ilipata moto,had ninafika tukabaki tunacheka tuu na nilipomwbia ukwel tulifrahi sana,hadi naandika post hii nipo iramba napunguza stress,,wanangu songea (ruhuwiko 411KJ)nmewamiss sana,ijumaa Wiki hii nakujaNi ile situation mtu anakupigia Simu then unamjibu umesafiri mkoa mwingine kumbe anakuona wakati anakupigia,au ile mtu anakupigia unamwambia upo mkoa mwingine then baada ya nusu SAA mnakutana!
Tupe mrejesho ilikuwaje!!
Sent by Diaspora
aaah aMwenye Nyumba kanipigia simu kama niko nyumbani,nikajua tu nikimwambia nipo atakuja kudai kodi yake,!!nikamwambia bado sijarudi niko kazini,nkafunga mlango faster ili nitoke chap!!__hamadi natoka tu getini nae huyu hapa!!!!bwana bwana weeee!!!hatariiiiii fayaaa!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kuna ndugu yangu siku hiyo kanipigia simu nimekaa sehemu nikawa sijisikii kuongea nae nikajua labda ana shida anataka kuanza kunisumbua. Basi nikawa naiangalia tuu mpaka inakata. Kapiga tena ikawa hivyo hivyo. Akanitumia meseji "Niko kwenye hii gari iliopaki hapa mbele yako. Naona unaangalia tu simu hupokei. Nilikua nakusalimia tu"
Daah niliishiwa pozi nikakosa ata cha kumjibu. Tangu siku hiyo hajawahi kunipigia na hata nikimtumia meseji hajibu.
ilinikuta ijumaa ya wiki iliyopita tar 12/04/2019,alhamis yake nilikuwa Dodoma had saa mbili usku na mchumba wangu alikuwa analijua hilo maana nlienda kuonana na dada alikuwa na tatizo,mchumba wangu akiwa anajua kabisa niko dodoma na kesho yake (ijumaa yenyewe) ilikuwa niende kw mchumba wangu huko kiomboi-iramba,,,, usku huohuo nikapigiwa sim nyumban (bariadi) kuna shida very serious, basi bhn ikabid niamshe usku huo had bariadi bila kumtaarifu mchumba wangu ili nilkuwa sijafuta mpango wa kwenda iramba hyo ijumaa,nilifika bariad saa kumi na moja alfajiri, tukakaa Tukaweka sawa lile tatzo nikaanza utaratb wa kuelekea kiramba mda huohuo,sasa bhn mchumba wangu alikuwa anapiga sim muda wote kutaka kujua naendeleaje maana tuliisubir kw Ham sana hii siku ya kuonana kwetu,sim yangu ilipata shida nikaazma ya Dogo flan nikaongea nae nkamwambia ndo nataka nianze safar ya kuja kutokea Dodoma, bhanabhana nikiwa njiani nakarbia tinde akaniuliza luv umefika wapi nkamjib njia Panda ya itigi kumbe midamida aliipigia sim ya dogo akaambiwa amewasha gari saa kumi na moja akaondoka huku bariadi,akili yake ilipata moto,had ninafika tukabaki tunacheka tuu na nilipomwbia ukwel tulifrahi sana,hadi naandika post hii nipo iramba napunguza stress,,wanangu songea (ruhuwiko 411KJ)nmewamiss sana,ijumaa Wiki hii nakuja