Tuliowahi kukutwa na hiki kisanga tukutane hapa

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,031
Ni ile situation mtu anakupigia Simu then unamjibu umesafiri mkoa mwingine kumbe anakuona wakati anakupigia,au ile mtu anakupigia unamwambia upo mkoa mwingine then baada ya nusu SAA mnakutana!
Tupe mrejesho ilikuwaje!!

Sent by Diaspora
 
Mi kuna ndugu yangu siku hiyo kanipigia simu nimekaa sehemu nikawa sijisikii kuongea nae nikajua labda ana shida anataka kuanza kunisumbua. Basi nikawa naiangalia tuu mpaka inakata. Kapiga tena ikawa hivyo hivyo. Akanitumia meseji "Niko kwenye hii gari iliopaki hapa mbele yako. Naona unaangalia tu simu hupokei. Nilikua nakusalimia tu"
Daah niliishiwa pozi nikakosa ata cha kumjibu. Tangu siku hiyo hajawahi kunipigia na hata nikimtumia meseji hajibu.
 
Hahaaa

Jamaa nimempiga mzinga wa kwanza laki akanipa, wa pili hamsini akanipa, wa tatu hamsini akanipa kwa interval ya mwezimwezi nikamalizia tena wa nne fifty ikatoka nikaenda kwa wakala kudraw.

Fresh.

Sasa kaibuka hapa Dom na Noah ndani kaniletea kama kilo mia za mchele akanipigia ili aniletee nimwelekeze home nikamchunia toka saa tano ananipigia mpaka usiku nikakausha najua anataka nipunguze deni na mimi niko tee.

Kauacha kwa mshikaji na kaacha maneno..... Mshikaji kesho ananiletea basi aiiiiiibuuuuu
 
Ni ile situation mtu anakupigia Simu then unamjibu umesafiri mkoa mwingine kumbe anakuona wakati anakupigia,au ile mtu anakupigia unamwambia upo mkoa mwingine then baada ya nusu SAA mnakutana!
Tupe mrejesho ilikuwaje!!

Sent by Diaspora

Two weeks ago kuna mzee alikuwa na kibinti kwenye makuti moja mitaa ya Sinza, kumbe kuna mtu anayemfahamu anamwona kupitia dirisha la nyumba jirani, akampiga picha na kuituma kwa mke wa huyo mzee, mke akampigia simu mzee kuuliza kama ameshafika kwenye kikao cha arusi kilichokuwa kinaendelea Kibaha, yeye akajibu ndiyo yupo kikaoni, mke akamtumia mzee picha akiwa na kibinti, mzee aliruka kama kapigwa shoti ya umeme akamwambia binti ondoka kuna mtu ameturekodi kwa siri na binti naye mbio
 
Mi kuna ndugu yangu siku hiyo kanipigia simu nimekaa sehemu nikawa sijisikii kuongea nae nikajua labda ana shida anataka kuanza kunisumbua. Basi nikawa naiangalia tuu mpaka inakata. Kapiga tena ikawa hivyo hivyo. Akanitumia meseji "Niko kwenye hii gari iliopaki hapa mbele yako. Naona unaangalia tu simu hupokei. Nilikua nakusalimia tu"
Daah niliishiwa pozi nikakosa ata cha kumjibu. Tangu siku hiyo hajawahi kunipigia na hata nikimtumia meseji hajibu.
Huyu atakuwa kweli alikuwa msumbufu, so siku aliyogundua kwamba huwa anakukera, aliumia sana.

Angekuwa sio wala asingekuchunia.
 
Ndio maana huwa sipokei simu moja kwa moja mpaka nijiridhishe.

Nikiishaamua kukupanga huchomoki.
 
Mi ilinitokea juzi juzi,,,nipo geto jamaa kaja kunitembelea bhana....sasa kabla hajafika mlangoni akasimama dirishani kwangu nakunipigia simu...

Yeye:: Hallo vp mwanangu....uko wapi.
Mimi:: Aah mwanangu bado sijarudi toka kazini nipo hapa nimechoka kinoma.

Jamaa akanambia "" basi bhana nlitaka kuja geto kwako,,,
Nikamwambia "sipo" afu nikakata simu huku nikijisemea kwa sauti """ kwenda zako huko, kwako hapakaliki!!?? Afu nikasonyaaa......

Kumbe jamaa yupo dirishani ananisikia....
Daaaah ghafla nikashangaa dirisha la aluminium sasa kile kipande cha wavu kinaburuzwa twaaaaaaa.........daaaah mshkaji nikagongana uso kwa uso huku nikiwa nimejilaza tu kitandani....

Nilipata tabu sana kumuweka sawa jamaa....alichukia sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mjinga akwende. Je kama ulikua na dada yake ndani. Stupid people deserve stupid reactions.
 
Mimi mtu unipigie simu wakat unaniona halafu nikudanganye au nisipokee hapo makosa ni yetu wote yan uki mind nitakumind kwann upige simu wakati unaniona, labda nkudanganye nmesafiri halafu tukutane
 
Ni ile situation mtu anakupigia Simu then unamjibu umesafiri mkoa mwingine kumbe anakuona wakati anakupigia,au ile mtu anakupigia unamwambia upo mkoa mwingine then baada ya nusu SAA mnakutana!
Tupe mrejesho ilikuwaje!!
Sent by Diaspora
ilinikuta ijumaa ya wiki iliyopita tar 12/04/2019,alhamis yake nilikuwa Dodoma had saa mbili usku na mchumba wangu alikuwa analijua hilo maana nlienda kuonana na dada alikuwa na tatizo,mchumba wangu akiwa anajua kabisa niko dodoma na kesho yake (ijumaa yenyewe) ilikuwa niende kw mchumba wangu huko kiomboi-iramba,,,, usku huohuo nikapigiwa sim nyumban (bariadi) kuna shida very serious, basi bhn ikabid niamshe usku huo had bariadi bila kumtaarifu mchumba wangu ili nilkuwa sijafuta mpango wa kwenda iramba hyo ijumaa,nilifika bariad saa kumi na moja alfajiri, tukakaa Tukaweka sawa lile tatzo nikaanza utaratb wa kuelekea kiramba mda huohuo,sasa bhn mchumba wangu alikuwa anapiga sim muda wote kutaka kujua naendeleaje maana tuliisubir kw Ham sana hii siku ya kuonana kwetu,sim yangu ilipata shida nikaazma ya Dogo flan nikaongea nae nkamwambia ndo nataka nianze safar ya kuja kutokea Dodoma, bhanabhana nikiwa njiani nakarbia tinde akaniuliza luv umefika wapi nkamjib njia Panda ya itigi kumbe midamida aliipigia sim ya dogo akaambiwa amewasha gari saa kumi na moja akaondoka huku bariadi,akili yake ilipata moto,had ninafika tukabaki tunacheka tuu na nilipomwbia ukwel tulifrahi sana,hadi naandika post hii nipo iramba napunguza stress,,wanangu songea (ruhuwiko 411KJ)nmewamiss sana,ijumaa Wiki hii nakuja
 
Mi kuna ndugu yangu siku hiyo kanipigia simu nimekaa sehemu nikawa sijisikii kuongea nae nikajua labda ana shida anataka kuanza kunisumbua. Basi nikawa naiangalia tuu mpaka inakata. Kapiga tena ikawa hivyo hivyo. Akanitumia meseji "Niko kwenye hii gari iliopaki hapa mbele yako. Naona unaangalia tu simu hupokei. Nilikua nakusalimia tu"
Daah niliishiwa pozi nikakosa ata cha kumjibu. Tangu siku hiyo hajawahi kunipigia na hata nikimtumia meseji hajibu.
ila pole sana Mzee maana inawezekana alitaka kukutoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruhuwiko hunt club dah nimekumbuka hapo nilifikia na wife,songea oyeeee
ilinikuta ijumaa ya wiki iliyopita tar 12/04/2019,alhamis yake nilikuwa Dodoma had saa mbili usku na mchumba wangu alikuwa analijua hilo maana nlienda kuonana na dada alikuwa na tatizo,mchumba wangu akiwa anajua kabisa niko dodoma na kesho yake (ijumaa yenyewe) ilikuwa niende kw mchumba wangu huko kiomboi-iramba,,,, usku huohuo nikapigiwa sim nyumban (bariadi) kuna shida very serious, basi bhn ikabid niamshe usku huo had bariadi bila kumtaarifu mchumba wangu ili nilkuwa sijafuta mpango wa kwenda iramba hyo ijumaa,nilifika bariad saa kumi na moja alfajiri, tukakaa Tukaweka sawa lile tatzo nikaanza utaratb wa kuelekea kiramba mda huohuo,sasa bhn mchumba wangu alikuwa anapiga sim muda wote kutaka kujua naendeleaje maana tuliisubir kw Ham sana hii siku ya kuonana kwetu,sim yangu ilipata shida nikaazma ya Dogo flan nikaongea nae nkamwambia ndo nataka nianze safar ya kuja kutokea Dodoma, bhanabhana nikiwa njiani nakarbia tinde akaniuliza luv umefika wapi nkamjib njia Panda ya itigi kumbe midamida aliipigia sim ya dogo akaambiwa amewasha gari saa kumi na moja akaondoka huku bariadi,akili yake ilipata moto,had ninafika tukabaki tunacheka tuu na nilipomwbia ukwel tulifrahi sana,hadi naandika post hii nipo iramba napunguza stress,,wanangu songea (ruhuwiko 411KJ)nmewamiss sana,ijumaa Wiki hii nakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom