Tuliowahi kuuziwa mbuzi kwenye gunia tukutane hapa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Dah!
Hii dunia ya ajabu sana!

Niliagiza simu ya Samsung mtandaoni, siku naenda kuichukua naikuta imefungwa vizuri tu, nikaifungua vizuri, ile kuiwasha tu, ika display label ya itel, hata mafaili yake yalikaa ki itel! inakaa na chaji si zaidi ya nusu saa! Ukiichaji inakuwa ya moto sana!

Lakini nje ilikuwa Samsung!

Tuliowahi kuuziwa mbuzi kwenye gunia tutoe shuhuda zetu!

Nawasilisha:
 
Pole sana, ila ungeeelezea vizuri ni mtandao gani huo uloagizia
 
Dah!
Hii dunia ya ajabu sana!

Niliagiza simu ya Samsung mtandaoni, siku naenda kuichukua naikuta imefungwa vizuri tu, nikaifungua vizuri, ile kuiwasha tu, ika display label ya itel, hata mafaili yake yalikaa ki itel! inakaa na chaji si zaidi ya nusu saa! Ukiichaji inakuwa ya moto sana!

Lakini nje ilikuwa Samsung!

Tuliowahi kuuziwa mbuzi kwenye gunia tutoe shuhuda zetu!

Nawasilisha:
Basi mwenyewe unajiona mjaaanja kutapeliwa!!
 
Nilinunua simu kwa jamaa kipindi hicho namaliza advance, kuna ile vibe ya kumiliki tachi aisee nilijikamua kama laki na 60 hivi afu baada ya siku mbili tatu ikaanza kuzingua

Display ikawa inaleta rangi rangi

Tumekuja kukutana bongo nikamchana kuwa aliniuzia mbuzi kwenye gunia simu ilikuwa mbovu imepita kwa fundi akaleta brah brah nikapotezea

Nilijifunza, mpaka leo sijawahi nunua simu au kitu used hasa electronic devices bora kujichanga nakumenya kitu kipya
 
ndugu yangu kamtumia mtu pesa mil30.
kwa ajili ya kuuziana nae gari.

jamaa kaambiwa gari tayari njoo lichukue..
kaenda wakamteka na kumkwarua kila kitu.kuanzia pete simu na hela zingine..

yaani utapeliwe bado ufate gari wakukwapue tena..

huyu jamaa angu kauziwa mbuzi na kuku kwenye gunia.
 
kama ni tanganyika pale Mwanza zile simu huwa zina pigwa umo umo town na club, unaweza jikuta una nunua simu yako ilio potea
Nilioneshwa simu ya Samsung nzuri tu kuanzia mwonekano hadi display, na akaiweka kwenye bahasha huku naona, nafika mbele nakutana na tecno W4, simu haliwaki! Kwa fundi wakanambia processor mbovu nikawapa watoto wakachezee!

Ila walinipiga 80,000 pale Tanganyika!
 
Kikuu hata mimi ishanitokea sana na alibaba. Niliagiza silcon mold alibaba, kwenye picha kubwa kufika viduchu yani. Kikuu niliagiza vitu kufika yani picha na bidhaa haviendani kabisa linapokuja suala la size.
Picha inatakiwa ivutie wateja, kwa hiyo wewe mnunuzi unaangalie size zilizoandikwa kwenye hiyo bidhaa, na kila unaponunua uliza size na details nyengine kwa kutumia chat, usinunue moja kwa moja, piga gumzo kidogo, tafuta maelezo zaidi kabla ya kununua
 
Hapo na ndo watu wanapokosea.
Alafu unaweza kukuta spair ya gari ndo inauzwa,lazima waweke picha ya gari, yaan spair inavyokaa kwenye gari, mtu anazani kwamba gari ndo linauzwa
 
Back
Top Bottom