Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

nyie mliopo dar fursa hiyo.
IMG-20191023-WA0060.jpeg
 
Wakuu,

Nilijifunza Kifaransa na nikawa mzuri mno, ila kwa sasa nimesahau karibu mambo mengi mno tatizo likiwa ufinyu wa wazungumzaji hivyo nikashindwa kukuza lugha.

Tuliowahi kujifunza hii lugha, karibuni.

Bonjour? sava?
Cà và
 
Salut à tous!
Je vous remercie pour introduit cet agenda!
Je suis etudiant d'Alliance Francaise Arusha B1...je souhaite de faire B1 et B2...cet annee et l'annee prochaine.
Qu'est-ce que tu fait maintenant?
 
Salut à tous!
Je vous remercie pour introduit cet agenda!
Je suis etudiant d'Alliance Francaise Arusha B1...je souhaite de faire B1 et B2...cet annee et l'annee prochaine.
Qu'est-ce que tu fait maintenant?
Felicitation beaucoup!
Nilishindwa kuendelea na darasa Alliance Francaise Dar es salaam kwa kukosa muda. Ilikuwa mwaka 1999. Nilisoma wiki 2 tu. Mwalimu wetu alikuwa Mr. David.
 
La langue de Molière est toujour la p!us belle!!!.Tunajifunza kwa Makosa. Umenikumbusha mbali.....
 
Ninaomba wale tuliowahi kujua kirusi na tumekisahau mana huku hakuna Tamara,Natasha,Sasha,Lyudmila na Olga Wa kuwatongoza mpaka kimepotea.
 
Back
Top Bottom