Aisee kumbe umeanza kitambo.[emoji23] [emoji23]Niliroga stuff nzima wakashindwa kufanya kazi siku nzima
Sio sanaAisee kumbe umeanza kitambo.[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio sana
Mwezi mzima na sikwenda nyumbani bali nikaenda Tanga vijijini kuongeza ujuzi niliporudi hakuna mwalimu aliyekuwa ananisogelea[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] so walivo kugundua wakakufukuza
Mwezi mzima na sikwenda nyumbani bali nikaenda Tanga vijijini kuongeza ujuzi niliporudi hakuna mwalimu aliyekuwa ananisogelea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimesoma shule yenye baridi kali sana kwahiyo ofisi kuu ya walimu ilikuwa na tanuru la moto na kila asubuhi kulikuwa na zamu ya kwenda kukoka moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa. Eleza vizuri ulichowafanya A to Z hadi wakashindwa kufanya kazi.
Nimesoma shule yenye baridi kali sana kwahiyo ofisi kuu ya walimu ilikuwa na tanuru la moto na kila asubuhi kulikuwa na zamu ya kwenda kukoka moto
Siku hiyo ilikuwa zamu yangu hivyo nikachukua miba ya samaki pono na mavumba mengine (sitayataja) nikachanganya nikanuizia na kuchoma, hakuna mwalimu aliweza kutoka pale ofisini hata waliochelewa walipoingia hawakutoka
Halafu ni mimi niliyepita kila darasa na kutangaza watu wajiachie kwa raha zao
Samaki pono yeye muda wote ni kulala tuu moshi wake ukikupata kidogo tu hutatamani kufanya chochote [emoji2] [emoji2] [emoji2] mengine sikwambii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
So kwanini walishindwa kutoka, kitu gani kiliwafanya wakae humo ndani au Ndo manuizi yako hayo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji27] [emoji3]
- Nilisimamishwa shule mwezi kwa kukutwa na mlinzi saa 4 za usiku nachoma mahindi kwenye shamba la mwalimu mkuu msaidizi nilipoambiwa nikaite mzazi nakumbua nilikuwa na akiba ya matumizi ya shule kama elfu 20 nikamkodisha mzee mmoja hivi aliuvaa uhusika vizuri sema kwenye kipengere cha kuniadhibu ikiwa kama yeye mzazi na kutoa fundisho kwa wengine ndo nilitamani bora ningepigwa na mwalimu mana mzee alikuwa anashusha bakora zinaingia mpaka kwenye mishipa ya fahamu unazisikilizia viliuma wiki nzima...na wakati nakaribia kumaliza kidato cha 6 nilisimamishwa mwezi mmoja kwa kumpiga kichwa mgawa chakula mana alileta ujinga wake..