Tuliowahi kufukuzwa shule

Tuliowahi kufukuzwa shule

k29

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
742
Reaction score
1,264
Habari zenu wadau. Wale wote tuliowahi kufukuzwa shule tupite hapa.
Tujikumbushie ni changamoto zipi tulizopata baada ya kufukuzwa na ni mara ngapi ulifukuzwa shule na kwa kosa lipi.

Karibuni tuchangie
 
Watukutu wale mnakaribishwa kwa upande wangu namshukuru mungu toka nianze shule hadi kumaliza chuo sijapata tatizo hata la kumwita mzazi ili wanionye
 
nilifukuzwa form four nikiwa nimebakiza siku mbili kuanza mtihani wa national.. dingi alifurukuta nikarudi siku ya pili skonga nikaosha dawati siku iliyofuata nimooooo
 
shule hafukuzwi mburula hata siku moja labda seminary kwa ajiri ya wastani ila shule za kipindi chetu wanafukuzwa vichwa tupu wale wanaojitambua na kupinga jambo baya sasa walimu wakizidiwa hoja wanakufukuza sasa vilaza hawawezi kua na akili hata ya kuuliza swali je wataweza tengeneza hoja ya kupinga
 
shule hafukuzwi mburula hata siku moja labda seminary kwa ajiri ya wastani ila shule za kipindi chetu wanafukuzwa vichwa tupu wale wanaojitambua na kupinga jambo baya sasa walimu wakizidiwa hoja wanakufukuza sasa ****** hawawezi kua na akili hata ya kuuliza swali je wataweza tengeneza hoja ya kupinga
hahahaha
 
Duu form six, nikirudishwa et kisa nilikutwa na simu
 
shule hafukuzwi mburula hata siku moja labda seminary kwa ajiri ya wastani ila shule za kipindi chetu wanafukuzwa vichwa tupu wale wanaojitambua na kupinga jambo baya sasa walimu wakizidiwa hoja wanakufukuza sasa ****** hawawezi kua na akili hata ya kuuliza swali je wataweza tengeneza hoja ya kupinga
Kabisa!
 
duh,chuo tu ndo nilimaliza bila kufukuzwa kuanzia chekea mpaka form 6 nikufukuzwa tu,uzuri kichwani nilikua fit hkuna nilichokua napoteza
Ulikuwa ukifukuzwa au ulikuwa ukisimamishwa masomo kwa muda?
Unaelewa maana ya kufukuzwa shule?
Halafu unasema kichwani upo vizuri...
 
Nilifukuzwa mara 2 primary,mara 3 o level na advance sikufukuzwa ili nilikuwa nikihitaji kuanzisha mgomo juu ya kuminywa kwa haki zetu kutokana na imani tulonayo...Namshukuru Mungu nimemaliza mpaka chuo kikuu.Niko poa Kauli hii inaishi "shule hafukuzwi mburula"
 
Back
Top Bottom