Tuliowahi kuchomeshwa mahindi tukutane hapa

Mi jmosi ilee iliyopita nmechomeshwa mahind,.nna kadem hua nakula,sasa kana rafk yake alikua kampiga kaunta attack mwenzie,yaan rafki akataka nae apigwe dushe,sasa nkamweka sawa,anaish kigambon,mzee jaza wese la kutosha had posta,akanambia nimsubirie mnaz m1 pale karib na bank ya crdb,..saa moja hyo,..mtoto hatokei,piiiga sim holaa,nkasema potelea mbal,..kesho yake asubuh kanapigaa sim,skupokea,kakawa kanatuma msg,et nije basi,nakuja leo plz,skuijib,nkakaambia wala kasijisumbue,sina muda huo.***** nakachukiaa,had leo sjataka wasiliana nacho tena
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina matukio mengi sana ya kuchomeshwa ht cjui nisimulie tukio lipi. Kwa sasa najitahidi kuepuka vitoto maana ndo vinaongoza kwa kutoa visingizio mara mama alinituma mara sijisikii na kama kuna kitoto nachoona lazima nikivue pichu basi namuekea asali ya kutosha a.k.a mkwanja mzuri lazima atakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi jmosi ilee iliyopita nmechomeshwa mahind,.nna kadem hua nakula,sasa kana rafk yake alikua kampiga kaunta attack mwenzie,yaan rafki akataka nae apigwe dushe,sasa nkamweka sawa,anaish kigambon,mzee jaza wese la kutosha had posta,akanambia nimsubirie mnaz m1 pale karib na bank ya crdb,..saa moja hyo,..mtoto hatokei,piiiga sim holaa,nkasema potelea mbal,..kesho yake asubuh kanapigaa sim,skupokea,kakawa kanatuma msg,et nije basi,nakuja leo plz,skuijib,nkakaambia wala kasijisumbue,sina muda huo.***** nakachukiaa,had leo sjataka wasiliana nacho tena
We nawe sio mzima,jifanye lofa kwa muda,watu wanachomeshwa mahindi hadi hattrick we moja tu umesusa
 
Mi jmosi ilee iliyopita nmechomeshwa mahind,.nna kadem hua nakula,sasa kana rafk yake alikua kampiga kaunta attack mwenzie,yaan rafki akataka nae apigwe dushe,sasa nkamweka sawa,anaish kigambon,mzee jaza wese la kutosha had posta,akanambia nimsubirie mnaz m1 pale karib na bank ya crdb,..saa moja hyo,..mtoto hatokei,piiiga sim holaa,nkasema potelea mbal,..kesho yake asubuh kanapigaa sim,skupokea,kakawa kanatuma msg,et nije basi,nakuja leo plz,skuijib,nkakaambia wala kasijisumbue,sina muda huo.***** nakachukiaa,had leo sjataka wasiliana nacho tena
Kapige tu mkuu upunguze machungu..! Tena sasa usimfate mwambie aje yeye..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm juzi kati yupo kanipekeka bunju nimefika nampigia sim hapokei ..nikakaazangu baa nikagonga bia zangu badae nikawasha gari nikasepa .badae ananipigia sujui sim ilikuwandani sijui nini nikamwambia poa .sasa j mosi nikamwita mbali kishenzi nikamchukulisha bajaji kafika namona namm sikupokea sim yake nikamblook nawatsup.dawa yamoto nimoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sergio 5 WANAWAKE PIA HUCHOMESHWA MAHINDI, NA MIMI NIMEWACHOMESHA SANA. KUNA MMOJA NILIMWAMBIA NITAENDA KWAKE ILA NILIKUWA NA RATIBA ZINGINE. BASI AKAANDAA MAPOCHOPOCHO NA VINYWAJI KIBWENA, MAWISKI.. YANI SIKU HYO ALITAMBIA KULINGANA NA CHATS ZA USIKU ULIOPITA.

NIMEKWENDA MIZUNGUKO YANGU RATIBA ZIKANIBANA HUKU NAENDELEA KUCHAT NAYE MPK KIZA KIKAINGIA.

ALIMAINDI SANA AKANUNA.

AKANAMBIA SASA MAVYAKULA YAKO ATAKULA NANI?

NIKAMPOOZA, KESHO YAKE NIKAENDA KUMALIZA MSALA..
 
Mm juzi kati yupo kanipekeka bunju nimefika nampigia sim hapokei ..nikakaazangu baa nikagonga bia zangu badae nikawasha gari nikasepa .badae ananipigia sujui sim ilikuwandani sijui nini nikamwambia poa .sasa j mosi nikamwita mbali kishenzi nikamchukulisha bajaji kafika namona namm sikupokea sim yake nikamblook nawatsup.dawa yamoto nimoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
binafsi kuiacha papuchi ishajileta,nikazi sana. hapondo udhaifu wangu ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulipia guest wakati haupo na demu ni kosa sana.. Mimi hua naenda kabisa kuulizia chumba mapema na kuongea na muhudumu akiweke ikipita baada ya muda fulani sijaja akiachie..

Siwezi kulala guest nikikumbatia mito..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom