Tuliowahi kuchomeshwa mahindi tukutane hapa

Tuliowahi kuchomeshwa mahindi tukutane hapa

Mojakwamoja Kwenye mada husika.
imekuwa kawaida kwa baadhi ya akina dada wanapo wekeana mihadi ya kukutana namwisho wasiku wadada kupotelea kusiko julikana
hii hali ilitokea sana kati yamika ya 2000 kuludi chini kipindi ambacho technologia ilikuwa bado haijashamili.
lakini pia hii hali imezidi kuendelea mpaka hivi sasa japokuwa wahusika wanatumia ubunifu wa hari ya juusana ukiambatana na uongo mwing.

binafsi niliwahi kuchomeshwa mahindi Baada yakuwa nimempanga mtoto moja wa mitaayetu tukakubaliana tuonane kwenye jumba moja bovu miaka Hiyo
tulipanga tuonane mida ya saw 6 usiku so mwanaume niliwahi kinona mida yaa saa nne tayali nipo kwenye tukio subili dem subili nakusubili[emoji6] [emoji8]
wapi!!!! jumlisha uwoga wambwa jumlisha mbu jumlisha baridi vyote mwanaume nikavumilia kilanapo taka kuondoka nahisikama anakuja mpaka ikafika saa10 ikabidi nijiludishe maskani kinyongee[emoji9] [emoji17] [emoji18]sana sasa chaajabu nakutana Nadem keshoyake namuuliza kilichofanya akanichomesha mahindi ninini???
hakuamini akawa analeta masihara eti unanitania du!!.

mwingine Huyu alikuwa wa miaka ya kikwete nimempanga mtotomzuli tukajilie vyetu maeneo frani so tukapanga tuonane mida ya saa mbili usiku mpaka majogoo kwasababu alikuwa mwanafunzi wa chuo pendwa nikaona isiwe tabu kwasababu demu kashanihakikishia atanipa mpaka kuchee
ikabidi nikafanye booking mapemaa huku nikisubili mda ufike mdaulipo fika akanipigia sm akaniambia nisiwe na hofu anajiandaa pia akaniambia nimtumia pesa ya tax nikatuma huku nikiwa na tamaa kama mzee fisi.
lakini nikawa naona time inaenda lakini mtoto hafiki[emoji8] ikabidi nimvutie waya
akapokea samahani sweet nipo njiani nakuja nikajipa matumaini hiyo nimida ya saa a tano nikasubili afike wapi!! ikabidi nipige tena sim kwa mala nyingine naskia
samahani mteja unae mpigia hapatikani kwa sasajalibu tena badae du!! [emoji5] [emoji5] [emoji5] nikajipa matumaini kwamba labda sim imeisha jaj kwavile nilishamuelekeza mahali nilipo nikajipa moyo.
ikabidi nikae reception kumsubilia hiyo nimida ya saa7 kasolo na gest inafungwa[emoji6] [emoji6] [emoji7] [emoji5] .
du!! nilichoka pigasm haipatikani jumla ikabidi nikumbatie mito mpaka asubuhi[emoji295] [emoji295] .

usiombe yakukute.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha, pole mkuu, hayo siyo mageni aisee.. Mimi pia yamenikuta sana but ili kukabiliana na haya huwa nakuwa na backup, yaani unakuwa na playlist. Nyimbo ikigoma kuplay unaplay next song.
Ukiwa nao wawili watatu hivi utaepukana kabisa na hayo madhia mkuu.
 
kuna kipindi hapo nyuma late 2007 tumeongozana kupata vinywaji nikajikata kuchukua room kumshtua tuzame ndani kagoma nilitaman nimkabe Shari aingie kwa nguvu aisee...daah
 
hahaha, pole mkuu, hayo siyo mageni aisee.. Mimi pia yamenikuta sana but ili kukabiliana na haya huwa nakuwa na backup, yaani unakuwa na playlist. Nyimbo ikigoma kuplay unaplay next song.
Ukiwa nao wawili watatu hivi utaepukana kabisa na hayo madhia mkuu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi jmosi ilee iliyopita nmechomeshwa mahind,.nna kadem hua nakula,sasa kana rafk yake alikua kampiga kaunta attack mwenzie,yaan rafki akataka nae apigwe dushe,sasa nkamweka sawa,anaish kigambon,mzee jaza wese la kutosha had posta,akanambia nimsubirie mnaz m1 pale karib na bank ya crdb,..saa moja hyo,..mtoto hatokei,piiiga sim holaa,nkasema potelea mbal,..kesho yake asubuh kanapigaa sim,skupokea,kakawa kanatuma msg,et nije basi,nakuja leo plz,skuijib,nkakaambia wala kasijisumbue,sina muda huo.***** nakachukiaa,had leo sjataka wasiliana nacho tena
 
Nimeshawahi kuchomeshwa mahindi na Demu mmoja hivi hadi njaa ikanishika na nikamaliza akiba yangu yote mfukoni mwangu na baadae nikawasha TZ 11 yangu ( nikatembea kwa miguu ) kutoka Kigogo hadi Tegeta Nyuki. Mbunye haina cha Komandoo wala Gaidi.

Shikamooni akina Dada / Wanawake wote duniani!
 
Mimi nilikuwa na mtoto mmoja namzimia sn tu...yeye alikuwa JANGWANI GIRLS mimi nipo AZANIA BOYS ..si unajuwa wakati ule wa mwinyi?SIMU ZA MKONONI ZILIKUWA ISSUE....KIDUME nikawa NAPUMZIKA yule DENTI.,.ILA kwenye MAWASILIANO TU ndy TATIZO SN...nisipomsubiri AKITOKA SHULE inakuwa Ngumu sn kumpata....ikawa nina kawaida ya kupita kwao...zaidi ya mara tatu nne....huku narusha VIJIWE VIDOGO DOGO JUU YA BATI....akisikia anatoka....naongea nae....hyo ndy ikawa SIGNAL ZETU nikimuhitaji...Sasa kuna siku kama MBILI sijamuona...kila nikipiga MISELE PALE KWAO kimya....NIMERUSHA VIJIWE WEE .,..KIMYA..duuu....KUMBE zile fujo zote za VIJIWE na misele ilishashtukiwa SIKU NYINGI NA baba yake yule DENTI...na mtoto wamembana asitoke...BABA YAKE alikuwa MZEE MMOJA anafanya KAZI WILAYANI....mzee MNOKO MNO...ni MZEE FULANI hivi wa MAPIGO YA KAUNDA SUTI TU ....ndy mapigo yake....halafu anapenda sn KESI...baada ya kuona kimya kimezidi DENTI SIJAMUONA...nikasema ngoja nipite kwa mara ya mwisho pale kwao ....ndy nikaona katoto kama cha miaka 7 hivi nikamtuma aniitie FATUMA ndani kwao....baada ya kama dk tano AKATOKA MZEE MMOJA akachungulia akarudi ndani.,.baadae katoka yule mtoto na KIBARUA..,.njoo ndani mimi naumwa......BABA NA MAMA hawapo.BARUA IMEANDIKWA HIVYO.....kwnz nikashangaa yule aliyetoka ni nani?baadae nikahisi labda mpangaji au mtu mwingine tofauti na baba yake...KIDUME NIKAZAMA NDNI...dk mbili nyingi KATOKEA YULE MZEE.... nikawekwa kati...BAADA YA MAKOFI MAWILI MATATU...akili ikakaa SAWA....na umri WANGU wenyewe ulionyesha mimi ni mwanafunzi na kweli BINTI YAO alikuwa anaumwa ndy salama yangu NA HUKU MAMA YAKE YULE DENT PIA ALIKUWA AKINITETEA.... lakini nilikuwa nishawekwa kati na yule mzee.....MZEE alikuwa MNOKO SANA YULE ....hadi LEO NIKIKUTANA NAE NAM MIND......lakini yote YAMESABABISHWA NA kurusha VIJIWE JUU YA BATI NA MISELE ...isiyo na MPANGO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi jmosi ilee iliyopita nmechomeshwa mahind,.nna kadem hua nakula,sasa kana rafk yake alikua kampiga kaunta attack mwenzie,yaan rafki akataka nae apigwe dushe,sasa nkamweka sawa,anaish kigambon,mzee jaza wese la kutosha had posta,akanambia nimsubirie mnaz m1 pale karib na bank ya crdb,..saa moja hyo,..mtoto hatokei,piiiga sim holaa,nkasema potelea mbal,..kesho yake asubuh kanapigaa sim,skupokea,kakawa kanatuma msg,et nije basi,nakuja leo plz,skuijib,nkakaambia wala kasijisumbue,sina muda huo.***** nakachukiaa,had leo sjataka wasiliana nacho tena
kakijileta kawashe ufidishie machungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshawahi kuchomeshwa mahindi na Demu mmoja hivi hadi njaa ikanishika na nikamaliza akiba yote mfukoni mwangu na baadae nikawasha TZ 11 yangu ( nikatembea kwa miguu ) kutoka Kigogo hadi Tegeta Nyuki. Mbunye haina cha Komandoo wala Gaidi.

Shikamooni akina Dada / Wanawake wote duniani!
pole mkuu[emoji28] [emoji28]

mbunye inweza kukulaza macho wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewahi Kulipia Lodge, demu niliyemsubiria akanambia imeshindikana kutoka home kwao. Nilisikitika nikalala peke Yangu kwa hasira na huzuni kwa Pesa Yangu.
Lakini asubuhi yake saa 2 akafika. Tulikaa lodge siku 3, hakika alikonga moyo nikasahau kabisa gharama ya awali.
Usiombe kuchomeshwa mahindi usiku. Utachati na kucheza game ili usilale huku ukijipa matumaini!!!!

unaweza kesha ukicheza gem la nyoka usikukucha. mbunye nihatali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom