Tuliosoma Old moshi secondary

Hapo kipindi hicho miaka ya 96 tulikuwa wababe balaa mpaka headmaster tukaletewa soja
 
Si kweli,Kibohehe Ndio walikuwa wajanja wa mkoa mzima.Old Moshi walikuwa watoto Wa Nyumbani tu jamani
 
Mshana Ni baada ya mama Kisanji siyo? Mwl kweka ulimkuta?
Sikumbuki vizuri ila kuna "Minja" wa phyisics , Nyange wa maths, kuna madam wa food & nutritions nimemsahau jina ila alikuwa mwembamba alikufa mwaka juzi, kuna madam Tarimo wa biology
 
Sikumbuki vizuri ila kuna "Minja" wa phyisics , Nyange wa maths, kuna madam wa food & nutritions nimemsahau jina ila alikuwa mwembamba alikufa mwaka juzi, kuna madam Tarimo wa biology
Ok Mkuu hapo namkumbuka mama minja na nyange before hapo nyange alikuwa Bwiru boys na Domo lake anavyopiga mikwara balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom