Tuliosoma nchini KENYA tukutane hapa

Tuliosoma nchini KENYA tukutane hapa

Mimi nimesoma chuo kikuu cha Kenyatta na nilikua rais wa chuo pale kuanzia mwaka 1997 mpaka 2000!😎🙈
 
Sijasoma kenya ila kila likizo nilikuwa naenda kenya kwa mama yangu.
 
Mimi nimesoma chuo kikuu cha Kenyatta na nilikua rais wa chuo pale kuanzia mwaka 1997 mpaka 2000!
Hongera. Mi nimesoma jomo kenyatta primary school. Baada ya hapo nikaenda kwale high school. Kisha nikarudi bongo kumalizia vyuo vyetu ma lecturer wanaochanganya lugha ya kiingereza ba kiswahili darasani
 
Back
Top Bottom