Tuliosoma Musoma Tech: Nimepamiss 'SELENA'

kingunge wa jf

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
466
Reaction score
457
Wakuu habari!
Leo nmeamka nikaikumbuka shule yangu niliposoma Advance pale musoma Tech.

Nimemkumbuka Mzee Matogoro, mama Helena, Mganga...

Wale vijana wa Pulyamboooo!

Hahaha lkn zaidi nimepamiss Selena lile chaka letu lile unashusha mzigo wakati wowote, ukishusha mzigo usiku ukirudi asbh haupo, umekwishatumika.

Karibuni sana tujikumbushe mambo ya Musoma Tech.
 
Ulikuwa enzi za Preamble or Msagasa? Preamble (Mwl Mwita), Headmaster na Mkurya wakwanza mm kumuona hana matatizo na mtu na mshika dini
Don't tell me, Musoma tech..! Chuo cha jeshi, si kwa life lile aisei, mzee matogoro, sabato miss u big..! aisei.MIKOMANGWA miss you my displine masters..! huyo ziwana kwa mama wawili binti yangu mloko atakuwa kavunja ungo sasa maana muda sana.
 
Hahahahahaaa!Aisee,ujeko ukomboe mtoto wako,mura!
 
Ulikuwa enzi za Preamble or Msagasa? Preamble (Mwl Mwita), Headmaster na Mkurya wakwanza mm kumuona hana matatizo na mtu na mshika dini
Nilikuwa enzi za preamble mkuu. Yule alikuwa malaika. Mungu ampe umri mrefu popote alipo.
 
Don't tell me, Musoma tech..! Chuo cha jeshi, si kwa life lile aisei, mzee matogoro, sabato miss u big..! aisei.MIKOMANGWA miss you my displine masters..! huyo ziwana kwa mama wawili binti yangu mloko atakuwa kavunja ungo sasa maana muda sana.
Daah umenikumbusha Mikomangwa. Daaaahh!
Yule msukuma alikuwa shidaaa.
 
Mwal kaganda simkumbuki lkn nilimaliza 2008. Si unajua pale mwanafunzi na mwl hawana interaction... pale kina Mnyeti ndo walikuwa watabe.
Ooh, vena! Basi mimi nilimkuta miaka kumi nyuma (1998)wakati Laurent Kabila anamtoa Mobutu Seseseko Kukungweno Zabanga WA Zabanga huku tunacheza Loi pale kwa Mama Esther! The Old good days!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom