Tuliosoma Geography advance tukutane hapa

Sijaona ngumu hapo...ungeongea physical geography ningekuelewa
 
hili somo cjawai kulistuka nilikuwa nasoma km gazet na alama ninayopata naridhika hakika sijawai ona topic ngumu hapo

we kama mm mkuu,sikuwahi kusoma hata twishen lakini pia sikufeli,nilikuwa nadeal na vitabu,mapamflet na lecture ya class tu,kuna masomo hayahitaji hata kusomewa twisheni,basi tu,we mfano topic kama physical geography twisheni ya nn kama unajua kiingereza unasoma vitabu tu,terminology ngumu ngumu ndio unauliza
 
Climatology mzee uliisomaa? Dah ilikuwa mtiti kidogo
 
Wakuu ni topic gani ya Geography advance inasumbua Kati ya iz map photo survey research and statistics.
Geography paper one sio ngumu hata kidogo maana maswali yako direct kama unajua bhasi unajua tu, ila issue paper two ingawa najua wengi mtanipinga paper two ni shida KWA sababu wengi wanashindwa kutoa mifano halisi.
Mfano case study ya population in Nigeria unakuta mwanafunz hawezi hata kulocate Nigeria inapatikana wapi hata mifano umeulizwa Nigeria unatoa mifano ya Tanzania.
Nina conclude hivi Geog paper one ni simple sana ila paper two ni ngumu na ugumu wake ni technical difficulties!!
 
survey, hii ni kwasababu walimu wengi hawako vizuri kwenye hii topic jambo linalosababisha kuifundisha kwa kusuasua ama pengine kutoifundisha kabisa. hili hupelekea wanafunzi pia kuichukulia kama topic ngumu lakini kiukweli kwa level ya advance ni topic ya kawaida.
Kweli mkuu, waalimu ndo chanzo, nilipokuwa chuo, lecturer wetu halikuwa haijui akatupa stor stor semista ikaisha, hapo ukifikilia advance ivo ivo mwl wetu kairuka, kutokana na hivyo mpaka mm leo hii sijui kitu ingawa nimemaliza chuo
 
Geography paper one sio ngumu hata kidogo maana maswali yako direct kama unajua bhasi unajua tu, ila issue paper two ingawa najua wengi mtanipinga paper two ni shida KWA sababu wengi wanashindwa kutoa mifano halisi.
Mfano case study ya population in Nigeria unakuta mwanafunz hawezi hata kulocate Nigeria inapatikana wapi hata mifano umeulizwa Nigeria unatoa mifano ya Tanzania.
Nina conclude hivi Geog paper one ni simple sana ila paper two ni ngumu na ugumu wake ni technical difficulties!!
Paper 2 ilikuwa ya kufidia marks zilizopotea paper one!
 
we kama mm mkuu,sikuwahi kusoma hata twishen lakini pia sikufeli,nilikuwa nadeal na vitabu,mapamflet na lecture ya class tu,kuna masomo hayahitaji hata kusomewa twisheni,basi tu,we mfano topic kama physical geography twisheni ya nn kama unajua kiingereza unasoma vitabu tu,terminology ngumu ngumu ndio unauliza
hakuna kitu hapo practical geog nilikuwa na Bonge la kitabu kinaitwa practice practical geographiy for Africa humo topic zote zimo na zimeelezewa vizuri sana alafu physical geog nilipata physical geography for Africa basi mi kusoma kama ww tu terminology ikizingua naenda kwa ticha namuuliza
Mara ya mwisho kusoma twishen hilo somo ni pre-form one
 
Back
Top Bottom