Tuliosoma Geography advance tukutane hapa

Tuliosoma Geography advance tukutane hapa

hili somo cjawai kulistuka nilikuwa nasoma km gazet na alama ninayopata naridhika hakika sijawai ona topic ngumu hapo
 
Ilikuwa inanizngua alf hatukua na ticha mzuri, pili nilikuwa siipendi.
 
Hakuna kigumu kwenye hili somo maana la kawaida sana na mimi nilifaulu kwa alama za juu kabisa
 
Mm nilikuwa sipendi notes za ppr 2,ila huku kwenye physical ndio kulikuwa kwangu
 
Katika somo nilio lioneaga toka primary, olevel,advance etc ni geography. Tena physical naamu nayo sana
 
Kwangu hakukua na topic ngumu.... Yaani hili somo safi sana aisee

Sijui kwanini sikwenda kuendelea nalo chuo
 
Mnaozilalamikia baadhi ya mada za geography kuwa ni ngumu ni kuwa eidha hukutilia mkazo au ulikosa mwalimu sahihi .muache kuwakatisha watu tamaa hakuna somo gumu au mada ngumu tatizo ni wewe
 
Back
Top Bottom