Tuliosoma environmental courses tukutane hapa

wadau napenda mnijulishe tofauti ya kiutendaji na kimajukumu kati ya watu waliosoma degree ya enviroment (science) na degree ya enviroment(arts).
 
wadau napenda mnijulishe tofauti ya kiutendaji na kimajukumu kati ya watu waliosoma degree ya enviroment (science) na degree ya enviroment(arts).

bsc in env hawa ni watu ambao mainly wana deals deeply in environmental aspect kwa mantiki ya physical part mfano mambo ya hali ya hewa

biological part mfano microorganisms effects kwenye mazingira.

chemical part ikijumisha mfano chemical content ya udongo na athari/effect kwenye mazao, chemical impacts kwenye env

wakati hawa b in art
zaidi wanadeal na environmental aspects/problems jinsi inavo athiri social issues mfano culture, politics, economics behavioral acts ambavo inaweza athiriwa na mazingira etc
 
nimekupata mkuu! na je halmashauri wanaprefer kuajiri w2 gani kati hizo category 2?
 
kwa preference
1. environmental engineers
2.environmental scientists
3. then environmental artists
 
Back
Top Bottom