Tuliopelekwa Songea Teachers College tukutane hapa

john watson

Senior Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
152
Reaction score
29
Wandugu.... Nikiwa mmoja wa majipu kutoka udom now up to songea.... Saana nataka tufaamiane waalimu wenzangu LAKINI pia kwa walio huko chuoni na kwa wanaofamu japo kuzoea mazingira ya chuo na maitaji muhimu.
 
Mkuu ufundishaji na vitendea kaz wavionaje ukilinganisha na miaka hii
 
Wandugu.... Nikiwa mmoja wa majipu kutoka udom now up to songea.... Saana nataka tufaamiane waalimu wenzangu LAKINI pia kwa walio huko chuoni na kwa wanaofamu japo kuzoea mazingira ya chuo na maitaji muhimu.
KAPIGE MZIGO KAKA,PALE NI NUSU SEMINARY UTAKUTANA NA RATIBA TAIT......NA PRINCIPLE MVURA HANA MASIALA.
 
NITAKUJA KUKUONA BAADA YA MWEZI MMOJA JINSI ULIVYOPAUKA NA VUMBI LA HAPO..
 
Mwende mkaitumikie chaki

Huna namna wew yan umefukuzwa CNMS,COED na CIVE kwa kuambiwa umefeli form four na mtu aliyefeli forn four hawez kufundisha secondary lakin bado unapelekwa huko unaenda jiongeze kijana usipende vya bure utakosa ajira utaambiwa huna vigezo vya kufundisha secondary
jipu linazid kukuwa safari hii hatuta tumbua jipu itabid tukate kabxa tako lenye jipu
 
[emoji47] [emoji47] kk ni kweli vyabureee kk[emoji26] [emoji26]
 
Back
Top Bottom