Naomba msaada kujua kuhusu Chuo cha Songea Teachers College

Joined
Apr 8, 2019
Messages
17
Points
45
Joined Apr 8, 2019
17 45
Nimepata nafasi Chuo cha Songea Teachers College kusoma Stashahada ya Ualimu Kemia na Biologia.

Hivyo naombeni msaada kwa anayeelewa hiki Chuo au vyuo vingine vyenye kufanana na hicho hususani suala la jinsi ya kupata GPA nzuri hapo Chuoni asanteni.

Pia hiki Chuo kipo vizuri?
 
feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
2,241
Points
2,000

feyzal

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
2,241 2,000
Kuna jamaa yangu anasoma hapo n nimewahi kufika mara 4 kipo safi tu japo si sana kimazingira ni mwendo wa nusu saa hivi kutoka songea mjini kwa mguu...na dk 5 kwa pikipiki.Ukiwa unatoka Dar kwenda songea pita njia ya Lindi ndo utashuka kituo ambacho kilipo chuo ukipita Iringa itakulazimu utafute usafiri wa kukifikia.....

Mwisho kila la kheli mwalimu mtarajiwa
 
Joined
Apr 8, 2019
Messages
17
Points
45
Joined Apr 8, 2019
17 45
Kuna jamaa yangu anasoma hapo n nimewahi kufika mara 4 kipo safi tu japo si sana kimazingira ni mwendo wa nusu saa hivi kutoka songea mjini kwa mguu...na dk 5 kwa pikipiki.Ukiwa unatoka Dar kwenda songea pita njia ya Lindi ndo utashuka kituo ambacho kilipo chuo ukipita Iringa itakulazimu utafute usafiri wa kukifikia.....

Mwisho kila la kheli mwalimu mtarajiwa
 
kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
3,436
Points
2,000

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
3,436 2,000
Philipo Dawson suala la GPA ni kusoma kwako tu hicho chuo kinawalimu wote unaowataka ,chuo kipo katikati ya makazi ya watu ,sisi wenyeji tunasema kipo MATOGORO ukiwa dar ukipanda mabasi yanayopita mkoa wa Lindi ,ukikaribia Songea wakushushe chuo cha Ualimu,lakini ukiwa dar ukapanda mabasi yanayopita mkoa wa Iringa utafika mpaka songea mjini baada ya hapo utapanda daladala zilizoandikwa matogoro
 
leop

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
404
Points
500

leop

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
404 500
Philipo Dawson suala la GPA ni kusoma kwako tu hicho chuo kinawalimu wote unaowataka ,chuo kipo katikati ya makazi ya watu ,sisi wenyeji tunasema kipo MATOGORO ukiwa dar ukipanda mabasi yanayopita mkoa wa Lindi ,ukikaribia Songea wakushushe chuo cha Ualimu,lakini ukiwa dar ukapanda mabasi yanayopita mkoa wa Iringa utafika mpaka songea mjini baada ya hapo utapanda daladala zilizoandikwa matogoro
Seedfarm bhana ndo jina la stend sio chuo Cha ualimu
 
Fiati

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
1,176
Points
2,000

Fiati

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2013
1,176 2,000
Philipo Dawson suala la GPA ni kusoma kwako tu hicho chuo kinawalimu wote unaowataka ,chuo kipo katikati ya makazi ya watu ,sisi wenyeji tunasema kipo MATOGORO ukiwa dar ukipanda mabasi yanayopita mkoa wa Lindi ,ukikaribia Songea wakushushe chuo cha Ualimu,lakini ukiwa dar ukapanda mabasi yanayopita mkoa wa Iringa utafika mpaka songea mjini baada ya hapo utapanda daladala zilizoandikwa matogoro
Mkuu kwa nn mnasahau kuwa atapita na mkoa wa Mtwara ingawa hatofika mkoani.Au na nyie huwa Kama waandishi wale wanaosema mvua itanyesha mkoa wa Songea/mwingine anaonyesha Songea anatamka Sumbawanga.Walimu wa Jiografia wana kazi ya kufanya.
 
Forum statistics

Threads 1,389,663
Members 527,997
Posts 34,031,414
Top