Tulioonewa na kufungwa na serikali

Tulioonewa na kufungwa na serikali

Usitishe watu wewe kwanza usha vunja sheria za JF mpaka sasa mshenzi wewe...........kumjua mtu sio kumnyanyasa.....kwani we nani. Nifuate na mimi. Wakurugenzi wa JF wana kesi sababu ya kuficha Id za watu wewe unaropoka hapa. shit.
Mkuu, huyo Dada anajitisha mwenyewe. Anajificha kwenye vi-ID bandia halafu anajifanya ananijua. Kama anataka tuzungumze kwa uwazi ajitokeze kwa jina na sura yake kama mimi halafu nimsikie. Anadhani kila mmoja anatishika.
 
CCM chini ya policcm ni wauaji, unabahati hadi sasa upo hai mshukuru Mungu najua wapo wengi wanaotamani kujitoa mhanga muda ukifika tutashikwa na bumbuwazi
 
Mkuu huwa nakuona sana Unajihusisha na Siasa na Ni mfanyakazi wa UDSM. Chagua Moja you will end up in disasters!
Itakuwa ulizaliwa kwa bahati mbaya wewe Kama wazazi walipanga hawezi kuwa na mawazo ya kikoloni kama siyo basi unalaana ya kutowaheshimu wazazi wako, Matokeo yake ndio hayo mawazo ya Toilet paper
 
mkuu kwa hiyo sentensi yako ya mwisho, watakutafuta tena bora ukae kimya
kumejaa mashushu humu
 
Pole Sana mkuu I hope niwatu wengi wanaozea huko kwa kesi Kama ilyo wapata.Mimi sikilaani hiki chama ila nawalaani watanzania wote wanao sapoti chama hiki huku ukweli upo wazi,madudu yapo wazi yanayo fanywa na serikali hii.mtu utamkuta anatumia msuri ata aibu hana kuwa tetea hawa jamaa.
 
Mkuu huwa nakuona sana Unajihusisha na Siasa na Ni mfanyakazi wa UDSM. Chagua Moja you will end up in disasters!
acha kuwatisha watu bwege wewe, kila mtu ana haki ya kufanya chochote ilimradi asivunje sheria za nchi....tatizo lenu mmeigeuza hiyo taasisi kua tawi la ccm, badala ya kulinda maslahi ya nchi mnalinda maslahi ya wana ccm.......sijui hata walitumia vigezo gani kuwaajiri.....manatia huruma watazameni wenzenu Mossad, CIA na MI 6, woote ni bright na wanajua nini wanafanya
 
Mkuu;
Pole sana sana kwa masahibu yaliyo kupata. Kitu kimoja tu nadhani kinaweza kukusaidia. Samehe, sahau tu. Ukishindana nao utajiongezea mateso na mwisho utakata tamaa na kuangamia. Kama ulivyo sema, Umepoteza vingi kwa kesi ya kuonewa. Mshukuru Mungu kuwa, umetoka salama na nguvu zako.
Najua moja tu; Mungu alikuwepo, ameona na usidhani hataacha kuwatenda. Kisasi ni mali ya Mungu usijaribu kulipiza. Pia usife moyo. Endelea kuwaelimisha watu kuhusu mabadiliko. Lema aliwekwa ndani miezi mingapi, mbona bado anahubiri mabadiliko?? Wapo wasio amini kuwa ipo siku yatatokea but definitely it will come.
 
Maneno hayo kamwambie mzazi au mtoto wako. Halafu punguza kujifanya unanifahamu. Sitaki mazoea.Bure kabisa!
Mi Nakufahamu Vizuri Acha Acha Kazi Uingie kwenye Siasa. Siyo Kuponda ponda wakati wote Nimeshawasiliana na Wakuu wako wa Idara.
 
Mi Nakufahamu Vizuri Acha Acha Kazi Uingie kwenye Siasa. Siyo Kuponda ponda wakati wote Nimeshawasiliana na Wakuu wako wa Idara.
Dada, unataka nini kwani? Unadhani mwenye cheti feki kama wewe unaweza hata kudiriki kupiga simu kwenye jumuiya ya wasomi kama hii? Endelea kujifurahisha nyuma ya ki-ID chako feki kama kilivyo cheti chako. Ulizia kuhusu mimi kabla hujaropoka Dada.
 
Back
Top Bottom