Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Tulioko kwenye ndoa tupeane uzoefu

Mzigua mdogo angu mbona unataka kuniharibia j4 hii jaman!??mimi kwenye hayo mambo nw km sielewi... labda tuulizane t
20181218_122648.jpg
u madeal yanayolipa kwasasa...nimefanya biashara fulan asbh sasa hv nipo hapa😊😊😊jaman masuala ya ndoa mie unaniletea vipele
vya jasho
 
Mzigua mdogo angu mbona unataka kuniharibia j4 hii jaman!??mimi kwenye hayo mambo nw km sielewi... labda tuulizanr tu madeal yanayolipa kwasasa...nimefanya biashara fulan asbh sasa hv nipo hapajaman masuala ya ndoa mie unaniletea vipelek vya jasho
Hahahhahhaaa. Nisamehe dada yangu. Wewe naonaga ushakubali yote bora liende.
Hayo mambo ya deal sasa ndo yenyewe. Tushirikishane hizo deal tupige wote
 
Hahahhahhaaa. Nisamehe dada yangu. Wewe naonaga ushakubali yote bora liende.
Hayo mambo ya deal sasa ndo yenyewe. Tushirikishane hizo deal tupige wote

😂😂😂 me ugomv8 ugomv siuwezi...kweli kbs..wala kunyenyekea jitu tu nimekutana nalo road siwez.aku!mradi napumua na nikigeuka huku naona masela wangu ah burudaniiii..hebu mwite demi..mie najilandukia imagi hapa😋😋labda yy atatupa uzoefu
 
uk
Mbona unaonekana kama mbibi au sisiter wa kanisa katoliki?ila hapana bhana maana unaimbaga nyimbo za dunia ww hwez kuwa mtawa.
hahhaa mie mwenyrw najua kasie hayupo ndoan waliopo ndoan wanajulikana full woga hofu majuto stress kero vurugu mechi ik

kuact unafiki mradi kuchwe..sasa ww kat8 ya haya umeyaona wapi kwa kasie?😂😂kasie anajiachiaga balaa..na h8vi age yake ndo raha ya dudu anaifeel bas full raha .its likr pressing yhe button
 
Back
Top Bottom