Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

jamani majina second batch yanatoka lini watu tunasubiri approval kutoka chuoni mpaka tunachoka
 
jaman mbona mm wa special dipl kila nnapo login inagoma au cc hatuhucki?
mxaada
 
Login kwa form 4 index no maybe S.0712/0034/2012
Passwd: Jina lako la pili mfn Anthony daniel unatumia DANIEL kama passwd ila iwe ktk capital letter!!!
 
nmejaribu kulogin lakini inakataa. na jana website yao ilikua haipatikani, wat to do now
 
Second batch mbona bado udom, kiroho juu uku. Maan bodi ya mkop iko njian alaf uku wengine atujui kama tutakuw admited au lah!.. Msaa wakuu kwa alie pata second batch. Kitaaaa tumekichoka
 
Mhm!ila kusoma udom inahitaji moyo,me binafsi hiki chuo sikikubali kabisa.kila la heri vijana,mungu awatangulie ktk safari yenu ya kuisaka elimu.
 
Udom chuo kizuri mliochaguliwa sheria karibuni sana nipo mwaka wa pili hapo
 
Back
Top Bottom