MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,746
- 22,918
Siku za mapumziko usingizi unaisha mapema sielewi ni kwa nini
Kwamba we ukilala ndani husikii mvua za nje? Ndicho kilichotokea, na si kama nilitoka nje kabisa nikakutana na mvuaJichange uhamie kwenye ka single self kususu ni humo humo ndani.
Ahahah sijui Kwa nn huwa ivyoSiku za mapumziko usingizi unaisha mapema sielewi ni kwa nini