Tulioahirisha JKT mujibu wa sheria tuonane

Msukuma 94

Senior Member
Apr 21, 2017
133
91
Habari wadau kama kichwa cha thread kinavyosomeka

Naomba tupeane machache kuhusu hayo mafunzo kwa sisi tulioenda vyuoni ila sasa (kuanzia 2016 & 2017) tumemaliza vyuo. Je, utaratibu upoje? Je, sheria za nchi zinasemaje kuhusu hili maana ni amri (MUJIBU WA SHERIA) sio hiari.

Asanteni nakaribisha mawazo yenu
 
Me nilichagulia tanga na ruvu, but mpaka nmemaliza cjajua utaratibu ukoje, labda tusubiri wajuzi wa mambo akina josevert na wengineo watujuze zaidi

Nice
 
Me nilichagulia tanga na ruvu, but mpaka nmemaliza cjajua utaratibu ukoje, labda tusubiri wajuzi wa mambo akina josevert na wengineo watujuze zaidi

Nice
mimi nilipangwa bulombora kigoma.... hao wadau uliowataja nao waliahirisha?
 
Kwenda huko ni hela zinahitajika.

So far sion ufuatiliaji wowote kuhusu wale wasoenda.
 
Habari wadau km kichwa cha thread kinavyosomeka naomba tupeane machache kuhusu hayo mafunzo kwa sisi tulioenda vyuon ila sasa (kuanzia 2016 & 2017) tumemaliza vyuo. Je utaratibu upoje na je sheria za nchi zinasemaje kuhusu hili maana ni amri (MUJIBU WA SHERIA) sio hiari. Asanteni nakaribisha mawazo yenu
Ajira Umezikosa nini....
 
Mi nilipangwa apo Mara.....natamani hata niende nibaki huko kabisa ...nilitumikie taifa
 
Nakumbuka kipindi kile barua ziliandikwa sana kuomba kuhudhuria mafunzo baada ya chuo, saiv kimya
 
Watu wanafikiri bila kuwajiriwa hautaishi. Bora tupambane na hali zetu.
Mimi nilipangiwaga jkt flan ila sikwenda
nilipo ulizwa n Dad kwann siendi nilimjibu cjaona sababu ya mm kwenda huko, alinielewa vzur tuu
nampaka leo hii c hitaj kwenda, napambana na hal yanguu mtaa na mashamban...
 
Mimi nilienda ila hakuna nilicho gain, ila kuna wezangu walibaki hukohuko.
 
Back
Top Bottom