Loneliness sucks! Sasa kama huku kwetu leo jua halijawaka kabisa imagine hiyo baridi yake eti huko single, huko tu hapo umekikaliza kumsubiri Mr right. Utachelewa dada πππ
Niko single kwa kuwa siko romantic. Yani mkorofi tu wala sina sababu ya ukorofi. Nina miezi kadhaa sasa, afu kutongoza siwezi kabisa. Maana nashindwa kaa naye hata mwezi.
Ila kimasihara inaniokoa sana sijui ningekimbilia wapi.