Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,293
Mambo mrembo..?Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenz.
Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Mtaachana tu! Thermometer mbovu hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenz.
Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenz.
Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Powa nambie...Mambo mrembo..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaturingishia sio...hongera.
Ukukaribia kuachika niflash naijaribu utamuu wako.
Shwari nimekuzimikia tu mrembo!.. kuanzia mwandiko wako majibu yako naona kabisa bwana kanipatia mke mwema!..Powa nambie...
Heri yake...Shwari nimekuzimikia tu mrembo!.. kuanzia mwandiko wako majibu yako naona kabisa bwana kanipatia mke mwema!..
Tuko pamoja Mrs Bishanga, tunapitia vipindi vinavyofanana kabisa, natamani niutangazie ulimwengu mzima kile napitia kwa sasa
hongera sana mkuu, kila mtu hupenda situation kama hizo zidum bt sijui ni kitu gani hupita kati hata mkawa mnaishi kawaida or kwa kugombanaKuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenz.
Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
Sijui ni kwa mda gani itadumu ila ninachojua Mungu ameniletea amani kwa mda huu. I cherish this moment until hapo itakapogeuka shubiri.Tuko pamoja Mrs Bishanga, tunapitia vipindi vinavyofanana kabisa, natamani niutangazie ulimwengu mzima kile napitia kwa sasa
Jini mkata kamba anapotokea hapajulikanihongera sana mkuu, kila mtu hupenda situation kama hizo zidum bt sijui ni kitu gani hupita kati hata mkawa mnaishi kawaida or kwa kugombana
Ni wakati Kama huu mtu yeyote akiomba chochote kilicho ndani ya uwezo wako unampa, maana unauhisi ubinadamu, upendo na huruma kwa kila mtu,Kumbe tupo wengi