Tulinganishe biashara na ajira hapa

Kinaweza kuwa na Bei Gani?
 
Watumishi wengi kwa mwaka wanaingiza chini ya mil9 kama take home hivyo wewe kama hiyo waipata kwa miezi mitatu means kwa mwaka si chini ya mil30 wafanya biashara gani mkuu yenye capital ya shngapi kwa estimation
 
Unafany Mishe gn mkuu
 
Vending machine zinapatikana kwny platform ya Alibaba.
Bei yake inategemea na aina ya vending,Kuna vending ya maziwa inauzwa 7.5M,Kuna snack vending inauzwa kati ya 3M-2M,Kuna za maji zina range 4M-1.5M,unaweza kuingia kwny website yao.
Habari mkuu nimekucheki pm kulee naona kimya
 
Jama i kuajiriwa raha nyie...nipo hapa nasa nakula.mshahara wa dollar laki 7 kwa mwaka kuwashushia tuu hesabu za bwana eistein.

Ila uajiriwe na mzungu au mjapan. Hizi kabila zingine ni shida tuu
 
Jama i kuajiriwa raha nyie...nipo hapa nasa nakula.mshahara wa dollar laki 7 kwa mwaka kuwashushia tuu hesabu za bwana eistein.

Ila uajiriwe na mzungu au mjapan. Hizi kabila zingine ni shida tuu
Tunapataje kazi kwa mzungu au mjapani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…