Tulinganishe biashara na ajira hapa

Inadepend ni biashara gani piah na ajira umeajiriwa sehemu gan au kitengo gan kama waliopo tbs au tira hao labda wafanyabiashara wakubwa ndio wa kulinganisha nao
 
Vending machine izo ni shngp na zinappatikan wp
 
Nimefanya biashara miaka mitatu sijawah pata faida zaidi ya laki tatu πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahyo nikipata ajira serikal narukanayo uku nikiendelea na biashara cz najua ajira inanifeva upande wa afya ya familia
 
M5 mbona ndogo mm kuna sehm nilikuwa nafanya kaz ila company ni ya mmarekani..MD alikuwa analipwa mil 20 so mtu kulipwa m5 kawaida sana hasa hawa heads of dept kawaida mbona bado allowances
Kwamfano huyo anaelipwa m20 unaweza kumfananisha na mfanyabiashara wa level gani hapa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…