we unaongea hivyo, bora ulinata...kuna jamaa kule Ifunda Tech miaka fulani, kule iringa kwa wale wanaokujua....alichukua mke wa mtu. basi akaondoka kwa usalama kabisa akiwa amemaliza shughuli yake..alipofika mbali, akapata haja ya mkojo, akasema ngoja nikojoe..alivyoanza kukojoa mkojo unatoka, kidude kikachomoka chote, kikaenda na mkojo kikadondoka chini. pakabaki kama hapakuwa na kitu kabisa yaani pameungana nyama imejirudi, ukisema maeneo ni ya mke, uke haupo, hivyo ni aina fulani tu ya mwili na kidude kimedondoka..JAMAA LICHOFANYA, ALIKIOKOTA akakishika mkononi mbio kwa mwibiwa, akaeleza ukweli wote. si unajua wahehe, alichokipata ilikuwa fundisho kwa wanafunzi wote. unalipa hela na kifo juu.