Tulinasana wakati tukijamiiana

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
huu mwaka bora uishe, sitasahau siku niliyonasa kiunoni kwa masaa tisa nikijamiana na mwanamke.
sikujua kuwa ni mke wa mtu hadi aliposema yeye ni mke wa mtu na tukampigia bwanake simu kumjulisha kuwa teso lake limenasa.
 
Mambo ya Tanga hayo...Nimeshapata kusikia hizi story..na ushukuru jamaa alikuwa jirani, ingekuwa ndo dereva wa masafa na ndo katoka kwenda Bujumbura, sijui ingekuwaje!
 
Mbona na mimi ningekuwa mmoja mwa watu wa kumpokea dr. Remmy kule ahera!!
Mke wa mtu ni sawa na kaburi, ogopa
 
Mkuu haya ni kweli lakini au story tuu yamekutokea mkuu!?
 
huu mwaka bora uishe, sitasahau siku niliyonasa kiunoni kwa masaa tisa nikijamiana na mwanamke.
sikujua kuwa ni mke wa mtu hadi aliposema yeye ni mke wa mtu na tukampigia bwanake simu kumjulisha kuwa teso lake limenasa.

Mlinatana heheheheee :A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
mijitu mingine bwana... ahhh
images
?
Mkuu haya ni kweli lakini au story tuu yamekutokea mkuu!?
 
we unaongea hivyo, bora ulinata...kuna jamaa kule Ifunda Tech miaka fulani, kule iringa kwa wale wanaokujua....alichukua mke wa mtu. basi akaondoka kwa usalama kabisa akiwa amemaliza shughuli yake..alipofika mbali, akapata haja ya mkojo, akasema ngoja nikojoe..alivyoanza kukojoa mkojo unatoka, kidude kikachomoka chote, kikaenda na mkojo kikadondoka chini. pakabaki kama hapakuwa na kitu kabisa yaani pameungana nyama imejirudi, ukisema maeneo ni ya mke, uke haupo, hivyo ni aina fulani tu ya mwili na kidude kimedondoka..JAMAA LICHOFANYA, ALIKIOKOTA akakishika mkononi mbio kwa mwibiwa, akaeleza ukweli wote. si unajua wahehe, alichokipata ilikuwa fundisho kwa wanafunzi wote. unalipa hela na kifo juu.
 
mh! hivi kumbe huwa yanatokea mi nilijua ni stori tu pole sana
 
Hapo mkuu naona ilikuwa raha sana,maana inakuwa kama dogi vile hakuna kuchomoa ni kutupa makombora tu,mumo kwa mumo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom