Tulijuana kupitia Wrong No..

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,460
Reaction score
987
Kwhyo hata ukicheat mi sishangai, najua katatokea wrong no. mwingine..
 
Haya napita ngoja kina madame b,evelyne salt,heaven on earth waje
 
Mweh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Je, ulishawahi kusikia ANTI STRESS BAR? Basi kama ukishindwa hapa JF, Bar hiyo ipo Tabata Kimanga karibu na KAMENE SEKONDARI.

Ni imani yangu kama mleta mada angekuwa hapo asingeweza kupost hiki hapa.
 
Je, ulishawahi kusikia ANTI STRESS BAR? Basi kama ukishindwa hapa JF, Bar hiyo ipo Tabata Kimanga karibu na KAMENE SEKONDARI.

Ni imani yangu kama mleta mada angekuwa hapo asingeweza kupost hiki hapa.

aisifiae.............?
 
Hiyo ni misleading story ....ky lovely wife ambaye kwayo tumebarikiwa watoto watatu tukiwa ni familia yenye furaha nilikutana my lovely wife nikiwa nafanya kazi Customer Care Vodacom na nilihisi huyu dada aliyepiga simu kutatuliwa tatizo lake la simu ni mken wangu mtarajiwa....thanks God thats my confession am happy na yeye pia...dont think much of the means but the end
 
wrong number nomaaa mi mweyewe nilishapata nyapu a.k.a papuchi kwa wrong number.
 

True brother muda mwingine unapata watu wa ukweli wa kuwa nao maishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…