Tulijuana kupitia Wrong No..

Tulijuana kupitia Wrong No..

Je, ulishawahi kusikia ANTI STRESS BAR? Basi kama ukishindwa hapa JF, Bar hiyo ipo Tabata Kimanga karibu na KAMENE SEKONDARI.

Ni imani yangu kama mleta mada angekuwa hapo asingeweza kupost hiki hapa.

Baa kule n hakuna ishu utalewa pombe alafu utamnunia baa maid, bora hapa jf utacheka utafurahishwa kidogo utasahau hata uzi ulioandika
 
Hongera sana!! Nasikiliza Mambo mseto na Reuben mchome kaweka wimbo wa achimenengule simba anaunguruma chini ya banza stone! Aungurumapo simba mcheza nani?
 
kuleni mambozi kudadadekiiiiiiiiiiiiiiii anafugwa mnyama ila demu tupia vya kutoshaaaa mpaka aimbe KEKUNDU
 
Back
Top Bottom