Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

tema mate chini..wewe fake pastor muda wako wakuumbuka umefika..kwanini umemdhihaki mungu hivii
 
Mm kuna ndugu yetu ni muislam kabisa hana upako wala nn...kenda moro kaanzisha kanisa na sasa anapiga pesa kinooma...hawa watu wapo kabisa .tuwe nao makin
 
namshukuru mungu sana naamin kile nnachoamin haya makanisa ya kiroho yana meng aisee muombe msamaha mungu wako kabla hujatenda dhambi kubwa zaid ambayo itakuja kukutafuna siku za mbele kama hauko tayar kumuoa aisee usifkirie kumuua bora aibu ya utapel kuliko roho ya mauti ambayo itakuandama

kama shida ni kuendleza utapel wako wa kanisa bas mfanyie na yeye utapel wa kumuoa
kama shida ni kumuoa msichana mwengne bas kua tayar kuona kanisa lako likididmia.
 
Usiendelee kujivunia uovu.wahi kutubu uachane na huo utapeli,Mungu atakurehemu.kinyume na hapo tegemea kuvunjika shingo na hutapata wa kukuponya
 
Du.. moyo umekoonda mno..mungu akusamehe.. you are doing a good job with wrong purpose! kweli hapo muombe mungu tu maana hata neno linasema shetani nae alipewa mda mfupi kufanya vitu vyake....ndio wewe na huyo dada.. mwisho wenu umefika..salama yako tubu uokoke na umwombe mungu guidance..vinginevyo utaumbuka kweupe!
 
We kumbe ni punguani kiasi hicho?! yaani uko tayari kumnyamazisha kwa njia yoyote ile,kisa? sadaka, shame on u, halafu namuomba mungu akupe pigo ambalo hutalisahau maishani mwako, unamtania mungu? eti kanisa feki..!?
 
so mnafanya biznec.....nyie mmetoa mtaji alafu mmeajiri wainjilisti ambao wanaamini nyie ni wa kweli....so makanisa mengi yana wawekezaji na wachungaji wanalipwa mishahara tu...okay...
 
Back
Top Bottom