Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

Ndugu zangu wana jukwaa hakuna sababu ya kumjia mleta Uzi kwa matusi,jaziba,n.k.Mbona Wachungaji wa namna hiyo ni wengi sana.Na wanajiita Wachungaji wa Makanisa ya Kiroho,Huku wengi wakiliponda Vibaya Kanisa Katoliki,Ndiyo maana mimi huwa ninasema siku zote kuwa Mungu Mwenyewe ndiye anayejua na atamhukumu kila mmoja wetu kwa kadiri ya Matendo yake.
 
Nilipotoka chuo 2008 nilipata kazi yenye mshahara mdogo usioweza kufika hata tarehe 15, nikaona nitafute shughuli jioni baada ya kazi kuongeza kipato.

Mtaani kulikua na msichana mmoja Mshikaji wangu sana alikua amemaliza ualim ttc na alikua amepangwa hapo hapo mkoani, tukaamua Ku team up na kuanzisha kanisa letu ili tupate kipato zaidi, tulianza kama kikundi tu cha kuabudu huku tukitembea huku na huko kuwabembeleza wengine kujiunga, hatukua na upako wowote isipokua tulikua na vipaji vya kuongea mbele za watu bila hofu, Hasa mm ambae chuoni nilishiriki serikali ya wanafunzi

Tulikua tunafanyia ibada zetu katika kiwanja cha jamaa mmoja ambae aliishi dar hakua amekijenga bado, tulinunua turubai la blue la UNCR kubwa na tukawa tunaabudu hapo, kwa kweli karibu mshahara wangu wote ulikua unaishia pale, kununua viti vya plastic na mengineyo .

Kanisa liliendelea kukua na watu wakiongezeka kila wiki, after 2 years bulimia na waumini 102 hivi, kazi ya kupata waumin ni ngumu mno, na hasa wale wenye kazi zinazoeleweka.

Tumeendelea hivyo kwa muda hadi mwaka 2012 tulipoweza kumlipa mwenye kiwanja 15 million na hivyo kutuachia kiwanja, na 2013 tulianza kujenga Jengo dogo Pembeni ya hema tunalotumia tunatumia sadaka kulijenga, tuna waumini 530 active kwa sasa, hawa ni wale waliosajiliwa rasmi kwenye vitabu vyetu, ila wapo wapita njia wanaokuja wakiwa na magonjwa na shida mbali mbali na baadee kuondoka kama hawakupona.

Kwa sasa tumeacha kazi sehemu zetu za Ajira tunategemea kanisa.

Tatizo lenyewe

Huyu msichana tangu tunaanzisha hili kanisa tumekua marafiki Wa kawaida na Mara kadhaa Huwa tunakutana kimwili just for fun, hatukuwahi kuongelea ndoa hats siku moja, ila sijawahi kumuona na mchumba wala mpenzi, kumbe kipindi chote hicho ananisubiri mimi.

Kwamba aje kuwa mama mchungaji, mimi kwa bahati mbaya sikulifahamu hilo, nilishaanzisha uhusiano na msichana mmoja tuliemwingiza kanisani na tunapendana, tumepanga kufunga ndoa muda si mrefu.

Sasa binti tulieanzisha nae kanisa amekua akiwaambia watu wa karibu kwamba sisi ni wachumba na baadhi ya waumini wetu kuamini hivyo, mwezi uliopiita imenilazimu kumuita na kuzungumza nae kuhusu suala hilo, nikamueleza ukweli, cha ajabu ameacha kuja kanisani wiki ya tatu sasa.

Kaongea na mwenzangu mmoja katishia kwamba atasema kila kitu kwa waumini kwamba kanisa ni feki na sisi ni matapeli labda nimuoe yeye, sasa najiuliza hivi mtu kutembea na wewe m mbili tatu ni lazima nikuoe hata kama tabia sio nzuri?

Watu wa mungu naomba nijue kuna uhalali wowote wa huyu binti kulazimisha ndoa wakati Mimi simpendi kimapenzi?

Tunaogopa kumtimua kanisani maana anaweza kuharibu kila kitu.

Nimehangaika sana na hili kanisa na walau sasa hivi ndo naanza kuona matunda sasa siwezi kubali kuona mtu analivuruga kanisa, nipo radhi kutumia njia yoyote kumzimisha (mwenzetu mmoja ameshauri elimination method).

Maana anaweza haribu kila kitu tukimwacha, hasa akiwaeleza wainjilisti tunaowategemea kuombea wagonjwa na wenye shida mbali mbali.

Msaada wenu Wa mawazo unahitajika sana, mungu awabariki.

Shetani mkubwa wewe. Shindwa kwa jina la Yesu.
 
pumbavu kabisa...sasa kitu haramu ulitegemea kiwe na uaminifu ndani au amani......Mungu akusaemehe na atusamehe wote
 
We tapeli halafu unataka ushauri kwa watu wa Mungu? Kwanza wewe mzinzi na hujaokoka bali unawahadaa watu. Ushuri ni wewe utubu mbele za Mungu na mbele za waumini na kuwaambia ukweli kuwa wewe ulikuwa tapeli ila sasa umeacha na wakuombee. Unaweza pia kumtafuta askofu au mtumishi wa kweli wa Mungu akuombee na aje kanisani hapo na kukuombea msamaha mbele za waumini kama kweli umeamua kutubu. Vinginevyo utaishia pabaya wewe na huyo tapeli mwenzio.
 
Malizia tu kwa kuomba ushauri kwa watu wa shetani...maana scene nzima imekaa kiibilisi hii
 
Nilipotoka chuo 2008 nilipata kazi yenye mshahara mdogo usioweza kufika hata tarehe 15, nikaona nitafute shughuli jioni baada ya kazi kuongeza kipato.

Mtaani kulikua na msichana mmoja Mshikaji wangu sana alikua amemaliza ualim ttc na alikua amepangwa hapo hapo mkoani, tukaamua Ku team up na kuanzisha kanisa letu ili tupate kipato zaidi, tulianza kama kikundi tu cha kuabudu huku tukitembea huku na huko kuwabembeleza wengine kujiunga, hatukua na upako wowote isipokua tulikua na vipaji vya kuongea mbele za watu bila hofu, Hasa mm ambae chuoni nilishiriki serikali ya wanafunzi

Tulikua tunafanyia ibada zetu katika kiwanja cha jamaa mmoja ambae aliishi dar hakua amekijenga bado, tulinunua turubai la blue la UNCR kubwa na tukawa tunaabudu hapo, kwa kweli karibu mshahara wangu wote ulikua unaishia pale, kununua viti vya plastic na mengineyo .

Kanisa liliendelea kukua na watu wakiongezeka kila wiki, after 2 years bulimia na waumini 102 hivi, kazi ya kupata waumin ni ngumu mno, na hasa wale wenye kazi zinazoeleweka.

Tumeendelea hivyo kwa muda hadi mwaka 2012 tulipoweza kumlipa mwenye kiwanja 15 million na hivyo kutuachia kiwanja, na 2013 tulianza kujenga Jengo dogo Pembeni ya hema tunalotumia tunatumia sadaka kulijenga, tuna waumini 530 active kwa sasa, hawa ni wale waliosajiliwa rasmi kwenye vitabu vyetu, ila wapo wapita njia wanaokuja wakiwa na magonjwa na shida mbali mbali na baadee kuondoka kama hawakupona.

Kwa sasa tumeacha kazi sehemu zetu za Ajira tunategemea kanisa.

Tatizo lenyewe

Huyu msichana tangu tunaanzisha hili kanisa tumekua marafiki Wa kawaida na Mara kadhaa Huwa tunakutana kimwili just for fun, hatukuwahi kuongelea ndoa hats siku moja, ila sijawahi kumuona na mchumba wala mpenzi, kumbe kipindi chote hicho ananisubiri mimi.

Kwamba aje kuwa mama mchungaji, mimi kwa bahati mbaya sikulifahamu hilo, nilishaanzisha uhusiano na msichana mmoja tuliemwingiza kanisani na tunapendana, tumepanga kufunga ndoa muda si mrefu.

Sasa binti tulieanzisha nae kanisa amekua akiwaambia watu wa karibu kwamba sisi ni wachumba na baadhi ya waumini wetu kuamini hivyo, mwezi uliopiita imenilazimu kumuita na kuzungumza nae kuhusu suala hilo, nikamueleza ukweli, cha ajabu ameacha kuja kanisani wiki ya tatu sasa.

Kaongea na mwenzangu mmoja katishia kwamba atasema kila kitu kwa waumini kwamba kanisa ni feki na sisi ni matapeli labda nimuoe yeye, sasa najiuliza hivi mtu kutembea na wewe m mbili tatu ni lazima nikuoe hata kama tabia sio nzuri?

Watu wa mungu naomba nijue kuna uhalali wowote wa huyu binti kulazimisha ndoa wakati Mimi simpendi kimapenzi?

Tunaogopa kumtimua kanisani maana anaweza kuharibu kila kitu.

Nimehangaika sana na hili kanisa na walau sasa hivi ndo naanza kuona matunda sasa siwezi kubali kuona mtu analivuruga kanisa, nipo radhi kutumia njia yoyote kumzimisha (mwenzetu mmoja ameshauri elimination method).

Maana anaweza haribu kila kitu tukimwacha, hasa akiwaeleza wainjilisti tunaowategemea kuombea wagonjwa na wenye shida mbali mbali.

Msaada wenu Wa mawazo unahitajika sana, mungu awabariki.

wewe yesu alisha ku elimiante kitambo maana ni shetani number moja!! ushauri katubu na waekleze hao kondoo ukweli!!
 
sasa mkuu huoni ushajichoma tayari,what if mmoja wa waumini wako ni jf member,afu amesoma hii thread, akaenda kugossip,at last kla KTU kikajulikana,au hlo kanisa ulilolitaja jina ni LA uongo,
kwa kweli kwenye swala hili ni ngumu kutoa ishauri,Ila polee mkuu maana jf kuna watu mbalinbal so utapokea majibu ya ajabu,na mengine ya kuudhi na majuto
 
hakuna ushauri wala nini.... mtu mwenyewe tapeli wa roho za watu.... acha akuchafue tu.... umembanjua dada wa watu then unampotezea
 
Nilipotoka chuo 2008 nilipata kazi yenye mshahara mdogo usioweza kufika hata tarehe 15, nikaona nitafute shughuli jioni baada ya kazi kuongeza kipato.

Mtaani kulikua na msichana mmoja Mshikaji wangu sana alikua amemaliza ualim ttc na alikua amepangwa hapo hapo mkoani, tukaamua Ku team up na kuanzisha kanisa letu ili tupate kipato zaidi, tulianza kama kikundi tu cha kuabudu huku tukitembea huku na huko kuwabembeleza wengine kujiunga, hatukua na upako wowote isipokua tulikua na vipaji vya kuongea mbele za watu bila hofu, Hasa mm ambae chuoni nilishiriki serikali ya wanafunzi

Tulikua tunafanyia ibada zetu katika kiwanja cha jamaa mmoja ambae aliishi dar hakua amekijenga bado, tulinunua turubai la blue la UNCR kubwa na tukawa tunaabudu hapo, kwa kweli karibu mshahara wangu wote ulikua unaishia pale, kununua viti vya plastic na mengineyo .

Kanisa liliendelea kukua na watu wakiongezeka kila wiki, after 2 years bulimia na waumini 102 hivi, kazi ya kupata waumin ni ngumu mno, na hasa wale wenye kazi zinazoeleweka.

Tumeendelea hivyo kwa muda hadi mwaka 2012 tulipoweza kumlipa mwenye kiwanja 15 million na hivyo kutuachia kiwanja, na 2013 tulianza kujenga Jengo dogo Pembeni ya hema tunalotumia tunatumia sadaka kulijenga, tuna waumini 530 active kwa sasa, hawa ni wale waliosajiliwa rasmi kwenye vitabu vyetu, ila wapo wapita njia wanaokuja wakiwa na magonjwa na shida mbali mbali na baadee kuondoka kama hawakupona.

Kwa sasa tumeacha kazi sehemu zetu za Ajira tunategemea kanisa.

Tatizo lenyewe

Huyu msichana tangu tunaanzisha hili kanisa tumekua marafiki Wa kawaida na Mara kadhaa Huwa tunakutana kimwili just for fun, hatukuwahi kuongelea ndoa hats siku moja, ila sijawahi kumuona na mchumba wala mpenzi, kumbe kipindi chote hicho ananisubiri mimi.

Kwamba aje kuwa mama mchungaji, mimi kwa bahati mbaya sikulifahamu hilo, nilishaanzisha uhusiano na msichana mmoja tuliemwingiza kanisani na tunapendana, tumepanga kufunga ndoa muda si mrefu.

Sasa binti tulieanzisha nae kanisa amekua akiwaambia watu wa karibu kwamba sisi ni wachumba na baadhi ya waumini wetu kuamini hivyo, mwezi uliopiita imenilazimu kumuita na kuzungumza nae kuhusu suala hilo, nikamueleza ukweli, cha ajabu ameacha kuja kanisani wiki ya tatu sasa.

Kaongea na mwenzangu mmoja katishia kwamba atasema kila kitu kwa waumini kwamba kanisa ni feki na sisi ni matapeli labda nimuoe yeye, sasa najiuliza hivi mtu kutembea na wewe m mbili tatu ni lazima nikuoe hata kama tabia sio nzuri?

Watu wa mungu naomba nijue kuna uhalali wowote wa huyu binti kulazimisha ndoa wakati Mimi simpendi kimapenzi?

Tunaogopa kumtimua kanisani maana anaweza kuharibu kila kitu.

Nimehangaika sana na hili kanisa na walau sasa hivi ndo naanza kuona matunda sasa siwezi kubali kuona mtu analivuruga kanisa, nipo radhi kutumia njia yoyote kumzimisha (mwenzetu mmoja ameshauri elimination method).

Maana anaweza haribu kila kitu tukimwacha, hasa akiwaeleza wainjilisti tunaowategemea kuombea wagonjwa na wenye shida mbali mbali.

Msaada wenu Wa mawazo unahitajika sana, mungu awabariki.
kwanini mnamchezea mwenyezi mungu hivi,hakika yeye ndiye mwenye maamuzi juu ya dhambi yenu hii!
 
Back
Top Bottom