Tuliaminishwa Joshua Nassari ameuza ubunge je Tundu Lisu hana bei?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,958
141,951
Swali liwaendee makamanda wa chadema na wote wenye mapenzi mema popote walipo.

Kama kweli Joshua Nassari amenunuliwa je, Tundu Lisu hawezi kununuliwa?.......maana wanunuzi ni walewale na mbinu ni ile ile na dalali ni yule yule!

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom