Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Dungu zangu,nimeona tu niwarudishe nyuma.kidogo kule tuliko toka. Japo kuna watu bado wanaishi katika hili;
Embu taja baadhi ya vitu ambavyo vilikuwa vinaaminika kama miiko(taboos) aidha kwa nia nzuri au vinginevyo kwenu,na maana yake kulingana na utamaduni wenu.
kwa mfano;
kwetu sisi ilikuwa mwiko.
1.Kula paja la kuku
2.kula firigisi
3.Kunawa kabla ya wakubwa kabla na baada ya kula.
4.kumluka mwenzio mguu au akiwa amelala iliaminika kama ana magonjwa anakuambukiza
6.Hatukuruhusiwa kusimama pembeni au karbu na mwenzio alie kaa ati unamnyonya damu.
7.mama mjamzito hakuruhusiwa kula mayayai ati angemharbu mtoto
Mengne yalikuwa ni haya;
8.mkono ukiwasha(jicho kucheza shemu ya kope) eti utapata hela siku hio.
9.ukijikwaa kuna mtu anakusema vibaya(unatetwa) ulikotoka.
10.mtu mzima akilala akajikojolea eti mtapata taarifa za msiba.
11.jogoo akiwika jioni(mbwa kulia kwa makundi na vilio vya mda mrefu) eti kuna bibi au babu atakufa hapo kitaa(kijijini)
12.jua kuzungukwa na upinde kuna mchawi kafa hivyo anakuwa anajadiliwa na kusomewa hukumu..haya mim naamini ni baadhi tu,embu tuone kwenu pia mliaminishwa nini na wazee wetu wa zamani!