Tuliachana kisa chaja

Tuliachana kisa chaja

Siku hizi sio mwelewa au umeamua tu kujibu?
Walikuwa lodge hivyo huenda yake aliiacha home
Hilo jibu hapo chini alipaswa yeye ndio anijibu sababu ndio muhusika. Either kaisahau ama imeharibika au vyovyote vile so sidhani kama nimekosea kuuliza.
 
Mwanamke anayeshindwa kukupa hata zawadi ya soksi n mbinafsi. Weka pemben
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom