Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,789
Mm niliachana na x wangu kisa nyama tu ya kukaanga
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app

siku ukishikwa na nyege utamtafuta tu 😃Very interesting,
Kuna mdada flani nilikuwa natoka nae mwaka Jana, yeye anaishi kwake na Mimi kwangu.
Kwa mazingira ya pale kwangu nisingeweza kumleta kwa sababu mchumba anakujaga Mara kwa Mara na anafahamika na watu wa pale, Ni ngumu kuchanganya.
Huyu bidada huwa tunakutania lodge tunafanya yetu kila mtu anapita hivi!
Tuje kwenye kisa, Kuna siku Kama kawaida tulilala wote, Sasa usiku nikjisahau sikuweka simu chaji, nastuka asbh ina asilimia 4, job huwa nawahi Sana, nikamuomba niondoke na chaja yake akaitikia, kumbe alikuwa na wenge la usingizi. Mimi nikaibeba nikaenda nayo ili nikachajie job,! Na mezani nilimuachia kiasi kadhaa Cha hela ambazo aliniomba anataka kufanyia Jambo fulani!
Sasa alivyokuja kustuka akili zikamrejea akaona kumbe amekosea kuniachia chaja yake, zilipigwa simu hizo Kama mwizi vile, plus sms zisizoisha! nikamjibu shortly ntakuletea jioni !
Kweli jioni nikampelekea, from there ukawa mwisho wa mahusiano, alilia na kulalamika Sana lakini sikumsamehe!
Wanawake mnajikuta Nani ? Mtu anakugharamikia lakini kitu kidogo tu chako unalalamika mpaka mishipa ya shingo ?? Ni kitu gani Cha kijinga kilikufanya ukaachana na mpz wako ?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
RAS SIMBA YUKO WAPI AISEE AJE HAPA...I will back!
🤣🤣🤣🤣🙌unalalamika mpaka mishipa ya shingo
Mkuu chaja ya TECNO si ungenunua tu njiani 😅 😅 😅 😅
Natania tu
😅😅😅😅Tecno hata ukiiweka kwenye jua tu inajaa charge...
😂 Haya ni madharau sasaTecno hata ukiiweka kwenye jua tu inajaa charge...
Nilifikiri ni thread ya Mpwayungu.Very interesting,
Kuna mdada flani nilikuwa natoka nae mwaka Jana, yeye anaishi kwake na Mimi kwangu.
Kwa mazingira ya pale kwangu nisingeweza kumleta kwa sababu mchumba anakujaga Mara kwa Mara na anafahamika na watu wa pale, Ni ngumu kuchanganya.
Huyu bidada huwa tunakutania lodge tunafanya yetu kila mtu anapita hivi!
Tuje kwenye kisa, Kuna siku Kama kawaida tulilala wote, Sasa usiku nikjisahau sikuweka simu chaji, nastuka asbh ina asilimia 4, job huwa nawahi Sana, nikamuomba niondoke na chaja yake akaitikia, kumbe alikuwa na wenge la usingizi. Mimi nikaibeba nikaenda nayo ili nikachajie job,! Na mezani nilimuachia kiasi kadhaa Cha hela ambazo aliniomba anataka kufanyia Jambo fulani!
Sasa alivyokuja kustuka akili zikamrejea akaona kumbe amekosea kuniachia chaja yake, zilipigwa simu hizo Kama mwizi vile, plus sms zisizoisha! nikamjibu shortly ntakuletea jioni !
Kweli jioni nikampelekea, from there ukawa mwisho wa mahusiano, alilia na kulalamika Sana lakini sikumsamehe!
Wanawake mnajikuta Nani ? Mtu anakugharamikia lakini kitu kidogo tu chako unalalamika mpaka mishipa ya shingo ?? Ni kitu gani Cha kijinga kilikufanya ukaachana na mpz wako ?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hahahahaa , lugha ngumu sana.I will back!
Wanawake wwngine huthamini vidogo sana na kusahau makubwa waliofanyiwa.Very interesting,
Kuna mdada flani nilikuwa natoka nae mwaka Jana, yeye anaishi kwake na Mimi kwangu.
Kwa mazingira ya pale kwangu nisingeweza kumleta kwa sababu mchumba anakujaga Mara kwa Mara na anafahamika na watu wa pale, Ni ngumu kuchanganya.
Huyu bidada huwa tunakutania lodge tunafanya yetu kila mtu anapita hivi!
Tuje kwenye kisa, Kuna siku Kama kawaida tulilala wote, Sasa usiku nikjisahau sikuweka simu chaji, nastuka asbh ina asilimia 4, job huwa nawahi Sana, nikamuomba niondoke na chaja yake akaitikia, kumbe alikuwa na wenge la usingizi. Mimi nikaibeba nikaenda nayo ili nikachajie job,! Na mezani nilimuachia kiasi kadhaa Cha hela ambazo aliniomba anataka kufanyia Jambo fulani!
Sasa alivyokuja kustuka akili zikamrejea akaona kumbe amekosea kuniachia chaja yake, zilipigwa simu hizo Kama mwizi vile, plus sms zisizoisha! nikamjibu shortly ntakuletea jioni !
Kweli jioni nikampelekea, from there ukawa mwisho wa mahusiano, alilia na kulalamika Sana lakini sikumsamehe!
Wanawake mnajikuta Nani ? Mtu anakugharamikia lakini kitu kidogo tu chako unalalamika mpaka mishipa ya shingo ?? Ni kitu gani Cha kijinga kilikufanya ukaachana na mpz wako ?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Siku hizi sio mwelewa au umeamua tu kujibu?Kwani wewe huna chaja hadi ubebe ya mwenzako?