The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,449
Nimekaa pale Tulia ackson ndo waziri mkuu ajae , wengine wanaolinganishwa nae watapewa vyeo vingine vya uwaziri ,ila Makonda lazima awe waziri
Wamwaga damuNimekaa pale Tulia ackson ndo waziri mkuu ajae , wengine wanaolinganishwa nae watapewa vyeo vingine vya uwaziri ,ila Makonda lazima awe waziri
I couldn’t care less. They’re all traitors!Nimekaa pale Tulia ackson ndo waziri mkuu ajae , wengine wanaolinganishwa nae watapewa vyeo vingine vya uwaziri ,ila Makonda lazima awe waziri
utoke kua msimamizi wa Muhimili uje kua waziri mkuu kwanza hao wabunge walichaguliwa na nani?Dada Betina anazidi kuchanja mbuga.
Anakuja kwa kasi zaidi, na nguvu zaidi.
Na venye anavaa moka, atawabomoa viuno kweli kweli.
Wenye wivu mjinyonge.
There is ones careNo one cares.
😂😂Nimekaa pale Tulia ackson ndo waziri mkuu ajae , wengine wanaolinganishwa nae watapewa vyeo vingine vya uwaziri ,ila Makonda lazima awe waziri
Wewe ni mtoto wa Rango au ni moja Kati ya wazee wa za ndani kabisaa? 😆Nimekaa pale Tulia ackson ndo waziri mkuu ajae , wengine wanaolinganishwa nae watapewa vyeo vingine vya uwaziri ,ila Makonda lazima awe waziri
LimetimiaMuda ni rafiki mzuri, usije kushangaa akapewa msie mtarajia