Tulia Ackson mbona kapaniki hivyo, kulikoni?

Hotuba ya msomi nguli wa sheria imetuacha na maswali mengi hasa mbona anaelekea ana khofu ya kushindwa uchaguzi wa ubunge 2025?

Katika hotuba yake ya leo tumejifunza mambo mengi yakiwemo ufahamu wake wa sheria unatuacha hoi bin taabani.

Kwanza kapendekeza wawekezaji watafutwe na kuongezwa bandari ya Dar-es-Salaam ikimaanisha hata mkataba wa DP World hajausoma na hata kama aliusoma hajauelewa

Mkataba wa DP World umeipa kampuni tajwa uendeshaji wa hiyo bandari ya Dar-es-Salaam bila kuingiliwa na yeyote yule sasa wawekezaji zaidi wa bandari ya Dar-es-Salaam wapi na wapi?

Pili, kaongea kwa niaba ya wana Mbeya lakini hakutueleza ni lini na wapi maana wanambeya wengi wanasema hajawahi hata kukutana nao kwahiyo aache uongo na amwogope Mwenyezi Mungu.

Tatu, taswira yake ilikuwa ya ghadhabu na shari ikiashiria kuna alama za nyakati kesha zisoma hususani za matumizi ya maneno ya ."...... kuna maneno mengi yamepita hapa Mbeya...."

Maneno yapi yamepita Mbeya zaidi ya wapigakura kukujadili utendaji wako mbovu bungeni?

Na ya kuwa, tayari wamepata msitiri anaitwa Msomi Boniface Mwabukusu ambaye sasa ni Mbunge Mtarajiwa wa Mbeya mjini?

Kwa khali tunayoiona huyu mama anaweza kupata kiharusi wakati wowote ule maana hii tafurani siyo ya bure ina jambo linakuja bado lipo jikoni.

​
Ulikiona kivazi chake?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Sugu alikuwà maarufu kabla yake, na sugu anakubalika Ana element za kiharakati..

Ubunge wake Madam Ni wa kubebwa na jiwe, hakutoka jasho, Sasa kiti kishamnogea. Maana yeye ni sawa na mtu aliyefungwa macho akasafirishwa akafunguliwa macho hajui kafikaje hapo alipo.

Sugu siyo lopha, Ni wamjini na ana exposure kibao, haya jiwe alikuwa anamuelewa. Na ana nguvu kazi ya chama,kihuni na kiserikali. Katika pande ya mbeya Hata ingekuwa mkoa mzima angepewa.

Kwa hiyo Madam Ana haki ya kuwa frustrated maana Ana wakati mgumu na hajui hatma yake. Na akitoboa Tena sijui... Maana Mama hapendi wizi. Wala Shirki..,.😆
 
🔥😀

Wazaramo wenye Bandari yao wako Kimya waMbeya ndio mnateseka 😂😂😂

Dr Tulia ni mwalimu Kwahiyo anafungua darasa popote na Wasikilizaji wake ndio wanafunzi
Bandari sio ya mtu au kabila flani hata walioko Burundi, Rwanda, Congo, Zambia hiyo ni bandari yao.Sijui kama utaniekewa.
 
Hotuba ya msomi nguli wa sheria imetuacha na maswali mengi hasa mbona anaelekea ana khofu ya kushindwa uchaguzi wa ubunge 2025?

Katika hotuba yake ya leo tumejifunza mambo mengi yakiwemo ufahamu wake wa sheria unatuacha hoi bin taabani.

Kwanza kapendekeza wawekezaji watafutwe na kuongezwa bandari ya Dar-es-Salaam ikimaanisha hata mkataba wa DP World hajausoma na hata kama aliusoma hajauelewa

Mkataba wa DP World umeipa kampuni tajwa uendeshaji wa hiyo bandari ya Dar-es-Salaam bila kuingiliwa na yeyote yule sasa wawekezaji zaidi wa bandari ya Dar-es-Salaam wapi na wapi?

Pili, kaongea kwa niaba ya wana Mbeya lakini hakutueleza ni lini na wapi maana wanambeya wengi wanasema hajawahi hata kukutana nao kwahiyo aache uongo na amwogope Mwenyezi Mungu.

Tatu, taswira yake ilikuwa ya ghadhabu na shari ikiashiria kuna alama za nyakati kesha zisoma hususani za matumizi ya maneno ya ."...... kuna maneno mengi yamepita hapa Mbeya...."

Maneno yapi yamepita Mbeya zaidi ya wapigakura kukujadili utendaji wako mbovu bungeni?

Na ya kuwa, tayari wamepata msitiri anaitwa Msomi Boniface Mwabukusu ambaye sasa ni Mbunge Mtarajiwa wa Mbeya mjini?

Kwa khali tunayoiona huyu mama anaweza kupata kiharusi wakati wowote ule maana hii tafurani siyo ya bure ina jambo linakuja bado lipo jikoni.

​

Tangu Tulia apite Mbeya sikuwahi kumfikiria positive kabisa kwanza uchaguzi ulinikutia mbeya pia Tulia alikua anafanya mbinu nyingi sana ili kushawishi wana mbeya wampe kura hasa sana kwenye michezo na shughuli za kijamii kama misiba n.k

Lakini wakati wa uchaguzi ilitokea sintofahamu kubwa hasa kwenye upande wa kura mtu anapita 100% katika wananchi zaidi ya 5000 bila kura hata moja kuharibika?

Kuna ushuhuda wa watu ambao walifanya uchunguzi siku ya uchaguzi "Dada 1 alitaka aingie kupiga kura akazuiliwa kwa kuambiwa ndani nafasi haitoshi kwahiyo ili kuruhusu ventilation basi inabidi waingie mtu mmoja mmoja basi akaenda kujibanza mahali akawa anatake record privately ya watu wanaoingia ndani basi zoezi ndo linaanza tu akaanza kuhesabu wakawa wameingia watu takribani 25 tu na yeye ndo akafuata wa 26 basi cha kushangaza alichokuta ndani ni kwamba boksi la kura limeshajaa lakini wonders ni kwamba mbona voters walikua 25 tu sasa how kura ziko nyingi tayari? - SUGU (Ex Mbunge Mbeya)

Kwa maoni yangu tu 2025 kuna 95% ya Sugu kurudi madarakani kwasababu pia hakuna maendeleo yoyote aliyoleta Tulia mpaka ninaondoka mbeya last year yaani HAKUNA zaidi amejenga kighorofa chake mjini mpya isyesye tu ila wanambeya wanamajonzi sana aliwadanganya bodaboda na bajaj kwa helmet na bima za afya na kumbe nia ya Tulia na wenzie ni waongeze bajaj zao mjini pale na kweli wana bajaj nyingi mno yaani ukiuliza utaweza kushangaa
 
Sugu alikuwà maarufu kabla yake, na sugu anakubalika Ana element za kiharakati..

Ubunge wake Madam Ni wa kubebwa na jiwe, hakutoka jasho, Sasa kiti kishamnogea. Maana yeye ni sawa na mtu aliyefungwa macho akasafirishwa akafunguliwa macho hajui kafikaje hapo alipo.

Sugu siyo lopha, Ni wamjini na ana exposure kibao, haya jiwe alikuwa anamuelewa. Na ana nguvu kazi ya chama,kihuni na kiserikali. Katika pande ya mbeya Hata ingekuwa mkoa mzima angepewa.

Kwa hiyo Madam Ana haki ya kuwa frustrated maana Ana wakati mgumu na hajui hatma yake. Na akitoboa Tena sijui... Maana Mama hapendi wizi. Wala Shirki..,.😆
HOFU ya betina ni kukutana na Kamanda Mwambukusi ikiwa atafanikiwa kumkimbia Sugunyo!!
 
Kwanza kapendekeza wawekezaji watafutwe na kuongezwa bandari ya Dar-es-Salaam ikimaanisha hata mkataba wa DP World hajausoma na hata kama aliusoma hajauelewa
Hata kama alielewa, ile "kitu waliyotanguliziwa" huwa kinatia UPOFU!
Someni maandiko matakatifu na adhabu watakayopata siku ya KIYAMA
 
Mbeya haitaki viongozi wa hila, inataka kiongozi anayetekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria, na sio anayependelewa na mfumo kwa sababu ya siasa za bei rahisi.
Bado hujui siasa. Unatenganishaje siasa na hila na kupendelewa!? Unafikiri mtu kama Mbowe bila kuwa na undugu na mwenyekiti angekuwa mwenyekiti leo? Unafikiri bila hila angekuwa mwenyekiti kwa miaka 20?
 
Umeona namfagilia Mbowe. Pitia post zangu ndio utajua kama mimi ni muumini wa siasa za hila ama la.
 
Hotuba ya msomi nguli wa sheria imetuacha na maswali mengi hasa mbona anaelekea ana khofu ya kushindwa uchaguzi wa ubunge 2025?

Katika hotuba yake ya leo tumejifunza mambo mengi yakiwemo ufahamu wake wa sheria unatuacha hoi bin taabani.

Kwanza kapendekeza wawekezaji watafutwe na kuongezwa bandari ya Dar-es-Salaam ikimaanisha hata mkataba wa DP World hajausoma na hata kama aliusoma hajauelewa

Mkataba wa DP World umeipa kampuni tajwa uendeshaji wa hiyo bandari ya Dar-es-Salaam bila kuingiliwa na yeyote yule sasa wawekezaji zaidi wa bandari ya Dar-es-Salaam wapi na wapi?

Pili, kaongea kwa niaba ya wana Mbeya lakini hakutueleza ni lini na wapi maana wanambeya wengi wanasema hajawahi hata kukutana nao kwahiyo aache uongo na amwogope Mwenyezi Mungu.

Tatu, taswira yake ilikuwa ya ghadhabu na shari ikiashiria kuna alama za nyakati kesha zisoma hususani za matumizi ya maneno ya ."...... kuna maneno mengi yamepita hapa Mbeya...."

Maneno yapi yamepita Mbeya zaidi ya wapigakura kukujadili utendaji wako mbovu bungeni?

Na ya kuwa, tayari wamepata msitiri anaitwa Msomi Boniface Mwabukusu ambaye sasa ni Mbunge Mtarajiwa wa Mbeya mjini?

Kwa khali tunayoiona huyu mama anaweza kupata kiharusi wakati wowote ule maana hii tafurani siyo ya bure ina jambo linakuja bado lipo jikoni.

​
Kwa khali tunayoiona huyu mama anaweza kupata kiharusi wakati wowote ule maana hii tafurani siyo ya bure ina jambo linakuja bado lipo jikoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona namfagilia Mbowe. Pitia post zangu ndio utajua kama mimi ni muumini wa siasa za hila ama la.
Sawa. Unaweza ukawa siyo muumini wa siasa za namna hiyo lakini haliondoi ukweli kuwa siasa ni hila na upendeleo(connections). Ukitaka kuziangalia siasa lazima ukubaliana na ukweli huo. Wanasiasa hawafiki walipo kwa sababu ya utakatifu wao.
 
I don't entertain such a fuckin politics.
 
Hotuba ya msomi nguli wa sheria imetuacha na maswali mengi hasa mbona anaelekea ana khofu ya kushindwa uchaguzi wa ubunge 2025?

Katika hotuba yake ya leo tumejifunza mambo mengi yakiwemo ufahamu wake wa sheria unatuacha hoi bin taabani.

Kwanza kapendekeza wawekezaji watafutwe na kuongezwa bandari ya Dar-es-Salaam ikimaanisha hata mkataba wa DP World hajausoma na hata kama aliusoma hajauelewa

Mkataba wa DP World umeipa kampuni tajwa uendeshaji wa hiyo bandari ya Dar-es-Salaam bila kuingiliwa na yeyote yule sasa wawekezaji zaidi wa bandari ya Dar-es-Salaam wapi na wapi?

Pili, kaongea kwa niaba ya wana Mbeya lakini hakutueleza ni lini na wapi maana wanambeya wengi wanasema hajawahi hata kukutana nao kwahiyo aache uongo na amwogope Mwenyezi Mungu.

Tatu, taswira yake ilikuwa ya ghadhabu na shari ikiashiria kuna alama za nyakati kesha zisoma hususani za matumizi ya maneno ya ."...... kuna maneno mengi yamepita hapa Mbeya...."

Maneno yapi yamepita Mbeya zaidi ya wapigakura kukujadili utendaji wako mbovu bungeni?

Na ya kuwa, tayari wamepata msitiri anaitwa Msomi Boniface Mwabukusu ambaye sasa ni Mbunge Mtarajiwa wa Mbeya mjini?

Kwa khali tunayoiona huyu mama anaweza kupata kiharusi wakati wowote ule maana hii tafurani siyo ya bure ina jambo linakuja bado lipo jikoni.

​

Rutashubanyuma kwako upotoshaji ni sawa na chai inayokwenda pamoja na mkate muda wa asubuhi, hauwezi kuandika kitu bila ya kukipotosha angalau kwa sentensi moja au mbili.

DP World hana mamlaka ya kumkataa muwekezaji yoyote yule atakayeletwa na serikali ya Tanzania.

Uwekezaji wao unakwenda kuchukua eneo la asilimia nane tu ya eneo zima la bandari ya JMT.

Jitahidi upate tafsiri sahihi kabla ya kuandika upotoshaji mwingi wa mtandaoni.
 
🔥😀

Wazaramo wenye Bandari yao wako Kimya waMbeya ndio mnateseka 😂😂😂

Dr Tulia ni mwalimu Kwahiyo anafungua darasa popote na Wasikilizaji wake ndio wanafunzi
Na dhahabu ni ya watu WA wapi
 
Back
Top Bottom