Tulia Ackson mbona kapaniki hivyo, kulikoni?

We ni mdogo wake Tulia? Tulia hata ccm hawamtaki. Labda wewe kama ni Dada yako.
Mi si mshabiki maandazi naongea facts. Mbeya wamewahi kupata mbunge anayeweza kuwasemea na akasikilizwa kama Dr. Tulia?
 
Hotuba ya msomi nguli wa sheria imetuacha na maswali mengi hasa mbona anaelekea ana khofu ya kushindwa uchaguzi wa ubunge 2025?

Katika hotuba yake ya leo tumejifunza mambo mengi yakiwemo ufahamu wake wa sheria unatuacha hoi bin taabani.

Kwanza kapendekeza wawekezaji watafutwe na kuongezwa bandari ya Dar-es-Salaam ikimaanisha hata mkataba wa DP World hajausoma na hata kama aliusoma hajauelewa

Mkataba wa DP World umeipa kampuni tajwa uendeshaji wa hiyo bandari ya Dar-es-Salaam bila kuingiliwa na yeyote yule sasa wawekezaji zaidi wa bandari ya Dar-es-Salaam wapi na wapi?

Pili, kaongea kwa niaba ya wana Mbeya lakini hakutueleza ni lini na wapi maana wanambeya wengi wanasema hajawahi hata kukutana nao kwahiyo aache uongo na amwogope Mwenyezi Mungu.

Tatu, taswira yake ilikuwa ya ghadhabu na shari ikiashiria kuna alama za nyakati kesha zisoma hususani za matumizi ya maneno ya ."...... kuna maneno mengi yamepita hapa Mbeya...."

Maneno yapi yamepita Mbeya zaidi ya wapigakura kukujadili utendaji wako mbovu bungeni?

Na ya kuwa, tayari wamepata msitiri anaitwa Msomi Boniface Mwabukusu ambaye sasa ni Mbunge Mtarajiwa wa Mbeya mjini?

Kwa khali tunayoiona huyu mama anaweza kupata kiharusi wakati wowote ule maana hii tafurani siyo ya bure ina jambo linakuja bado lipo jikoni.

Mwanamke ana mwili mithili ya jini na kibwengo, Bora angekuwa mwanaume tu
 
Asante Dada wa ukweli umelijibu vema hilo lingongoti
 
​

Day dreams,tulia akson,2025-30.
 
Astaghifilullah!Mola amuepushe na kiharusi.Inshaallah!🙏
 
Tuna viongozi wa ovyo sana yaan mtu yupo tayar kuuza rasilimali za nchi kwa manufaa yake mwenyewe halafu wananchi tunajua kabsaa hii kenge inafanya hivo kujinufaisha mwenyewe halafu tunakaa kimya tuu

Oyaa wadau tuamke tuache ujinga wa kuwachekea wapuuzi kama hao
Fanya kazi Dogo, usifuate mkumbo,ongeza bidii kazini ili familia yako istawi.
 
Amebebwa ubunge Hadi usabufa mpaka mumewe.
Ataacha kupata presha.
Sasa hivi Jimbo la Mbeya wataligawa na yeye keshaona Rais wa Mbeya atachukua upande mmoja na Mwabukusu upande mwingine. Tulia atulie Kama alivyo Tulia msomi nguli mwenye degree nne.
 
Hotuba ya msomi nguli wa sheria imetuacha na maswali mengi hasa mbona anaelekea ana khofu ya kushindwa uchaguzi wa ubunge 2025?

Katika hotuba yake ya leo tumejifunza mambo mengi yakiwemo ufahamu wake wa sheria unatuacha hoi bin taabani.

Kwanza kapendekeza wawekezaji watafutwe na kuongezwa bandari ya Dar-es-Salaam ikimaanisha hata mkataba wa DP World hajausoma na hata kama aliusoma hajauelewa

Mkataba wa DP World umeipa kampuni tajwa uendeshaji wa hiyo bandari ya Dar-es-Salaam bila kuingiliwa na yeyote yule sasa wawekezaji zaidi wa bandari ya Dar-es-Salaam wapi na wapi?

Pili, kaongea kwa niaba ya wana Mbeya lakini hakutueleza ni lini na wapi maana wanambeya wengi wanasema hajawahi hata kukutana nao kwahiyo aache uongo na amwogope Mwenyezi Mungu.

Tatu, taswira yake ilikuwa ya ghadhabu na shari ikiashiria kuna alama za nyakati kesha zisoma hususani za matumizi ya maneno ya ."...... kuna maneno mengi yamepita hapa Mbeya...."

Maneno yapi yamepita Mbeya zaidi ya wapigakura kukujadili utendaji wako mbovu bungeni?

Na ya kuwa, tayari wamepata msitiri anaitwa Msomi Boniface Mwabukusu ambaye sasa ni Mbunge Mtarajiwa wa Mbeya mjini?

Kwa khali tunayoiona huyu mama anaweza kupata kiharusi wakati wowote ule maana hii tafurani siyo ya bure ina jambo linakuja bado lipo jikoni.

​

Huyo Binti 'Fito' ni moja ya mfano wa makosa aliyofanya Magufuli; kama alivyofanya kwa akina Sabaya na wengine wa aina hiyo.
 
Inaelekea ana khofu ya kushindwa uchaguzi ndo maana kaanza kuropoka ropoka kama kachanganyikiwa
Hana hakika kama Magufuli style itatumika safari hii kumtangaza mshindi kwa shuruti kinyume cha box la kura.

Huyu mama ni ibilisi fulani,ametumia sana usomi wake wa sheria kutunga sheria za ukandamizaji. Na kwa kwakuwa katiba yetu ni mbovu amefanikiwa kwenye hilo.
 
99% ya Ubunge wake ulitokana tu na Mbeleko ya Hayati Mr. 17 Machi, 2021 kwa kutumia Vyombo vyake na Watendaji wake ila Yeye kama Yeye hana Uwezo, hakubaliki, haaminiki na amejaa Unafiki mwingi.

Kama Mama ( Rais ) Samia atagombea 2025 nakuhakikishia nguvu ile ile itampitisha na atashinda hilo Jimbo huko Mbeya hata ikiwezekana Damu Kumwagika ili aendelee kuwa rubber stamp wa Maslahi ya Serikali mfano kwa hili la DP World.

Na nikusaidie tu kuwa moja ya sababu Kubwa kwa Yeye ( Madam Speaker ) Kuunga mkono hawa Wawekezaji wa DP World ni kumuonyesha Mama ( Rais ) kuwa yupo nae ili na Yeye Rais ( Mama ) aendelee Kumuamini na amsaidie kupita Ubunge hiyo 2025 na aendelee kumpigia Chapuo azidi kuwa Speaker wa Bunge ukizingatia ni Mwanamke Mwenzake.
You nailed it
 
Sidhani kama Mbeya imewahi pata muwakilishi bora anayeweza wasemea na wakasikilizwa kama DR. Tulia. Wakichagua mtu mwingine 2025 watakuwa hawajui siasa bali ni mashabiki mandazi wa siasa, na nitawadharau siku zote.
Mbeya haitaki viongozi wa hila, inataka kiongozi anayetekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria, na sio anayependelewa na mfumo kwa sababu ya siasa za bei rahisi.
 
Back
Top Bottom