Magufuli alikuwa na kipaji cha kuwaibua vichaa wenzake.
Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa.
Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno.
Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba, huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .
Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
Mkishindwa safari hii hamna sababu tena ya kuendelea kuwepo kama chama. 'Seriously'.Safari hii hatutawapa nafasi , Liwalo na Liwe !
Hahahahaaa[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2506388
Lissu hatukumpiga risasi sisi, alishambuliwa na watu wasiojulikana, sisi tukamtuma VP Mama Samia akampe pole. Tulishindwa kuanza uchunguzi kwasababu kulikuwa hakuna shuhuda yoyote, sasa shuhuda mmoja yupo, jeshi la polisi litaanza uchunguzi.Mbona mlimpiga Lissu risasi kisa mkasema sio mzalendo? ?
Kama uzalendo uko moyoni mwa mtu mwenyewe.
Wanatunyanyasa sana hawa ngedere na tukijitutumua wanatuua.
Anaongea utafikiri ataishi milele, Yeye ni mavumbi,ataiacha nchi na hajui yatakayofuata.Hii Tanzania ni swala la muda tu. Hata kama itachukua miaka 100 ,tutakuja kuwa kama DRC, Somalia, Sudan .Ngoja hiki kizazi cha waoga na wajinga kipite
Huyu njiti anasadifu kwa asilimia mia hii katuniSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi wake.
Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Februari 4, 2023 akiwa Visiwani Zanzibar kwa ziara ya kichama ambapo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 46 ya Chama hicho iliyofanyika katika Mkoa wa kusini Unguja.
Amesema kuwa ni wakati sahihi kwa wanachama wa chama hicho hususani vijana kuendelea kukipigania na kuwapigania Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti wa Chama taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuyasemea mazuri anayoyafanya kwa nchi.
“Mwana CCM hupaswi kukaa kinyonge hata siku moja, kote Tanzania bara na visiwani kuna miradi ya ujenzi wa shule kila kona, miundombinu ya barabara, zahanati, vituo vya afya n.k haya yote ni mafanikio ya kujivunia sasa unakaaje kinyonge? tunaposema kwamba chama hiki hakitaachia dola tunamaanisha” Amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: Clouds Media
Hili liko wazi CCM iachie dola nani sasa ashike dola ?Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi wake.
Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Februari 4, 2023 akiwa Visiwani Zanzibar kwa ziara ya kichama ambapo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 46 ya Chama hicho iliyofanyika katika Mkoa wa kusini Unguja.
Amesema kuwa ni wakati sahihi kwa wanachama wa chama hicho hususani vijana kuendelea kukipigania na kuwapigania Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti wa Chama taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuyasemea mazuri anayoyafanya kwa nchi.
“Mwana CCM hupaswi kukaa kinyonge hata siku moja, kote Tanzania bara na visiwani kuna miradi ya ujenzi wa shule kila kona, miundombinu ya barabara, zahanati, vituo vya afya n.k haya yote ni mafanikio ya kujivunia sasa unakaaje kinyonge? tunaposema kwamba chama hiki hakitaachia dola tunamaanisha” Amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: Clouds Media
Sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamuOna sasa hao wajinga wawili wanavyo msujudia binadamu mwenzao! ccm ni chama hovyo sana.
Watu kama hawa wakifa ni haki kushangilia vifo vyaoAnaongea utafikiri ataishi milele, Yeye ni mavumbi,ataiacha nchi na hajui yatakayofuata.
Hakuna atakayebaki milele ata weed utakufa pengine ukamtangulia tuliaUzuri atakufa kama marehemu
AiseeSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi wake.