MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,662
- 13,859
Nasikia anapewa mpemba hukoooo
Uspika na uwaziri mkuu bora nini?Wakuu,
Taarifa zilizopo ni kwamba Kuna uwezekano wa yeye kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
View attachment 3498660
Angekatwa hata ubunge kama ndivyo ilivyo kuwa lakini hakukatwaInasemekana Tulia alikuwa anaongoza kundi la waliokuwa wanasema Samia kapitishwa kihuni kugombea urais ndani ya ccm. Ajali anayokutana nayo ni kama waliyokutana nayo akina Ummy, Mpango Majaliwa nk.
Linalo ongea kama lipo kwenye vikina au mdundikoniHiyo nafasi ya uspika inatakiwa kukaliwa na jimama flani jeupe la kutoka Zanzibar
Kama ameahidiwa sasa kwanini alichukua form?Ameahidiwa kupewa Uwaziri Mkuu kama zawadi kwa kumsaidia Abdul kwenye sakata la Bandari .
Na hajaambulia kweli.Hata uwaziri mkuu hatoambulia
Wakuu,
Taarifa zilizopo ni kwamba Kuna uwezekano wa yeye kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
View attachment 3498660