GE2025 Tulia Ackson ajitoa mbio za kugombania Uspika

GE2025 Tulia Ackson ajitoa mbio za kugombania Uspika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katika hili tunawajibika kumkumbuka na kumpongeza Britanica aliyewahi kueleza kama miezi 4 au 5 iliyopita kuwa Tulia naye atakatwa na wahuni.
katumiwa sasa kabaki kama takataka si unajua mama anajua huu ni mwaka wake wa mwisho hatawahitaji tena machawa wake
 
Inasemekana Tulia alikuwa anaongoza kundi la waliokuwa wanasema Samia kapitishwa kihuni kugombea urais ndani ya ccm. Ajali anayokutana nayo ni kama waliyokutana nayo akina Ummy, Mpango Majaliwa nk.
 
wabongo bana, spika huchaguliwa na Chama, hapo ni kuidhinishwa tu, Yeye mwenyewe anajua nani aliechaguliwa.
 
KUNA WAJINGA JINGA WENGI wanasubiri

1762529140568.png
 
Amekuwa spared kwa sababu maalum usifikiri juu juu
 
Inawezekana akawa next PM, jambo ambalo itakuwa maajabu toka kuwa msimamizi wa Muhimili hadi kuwa mtendaji mkuu wa gvt........ anyway kwa upande mwingine naona ni sahihi kwasababu Bunge lake halikuwa na kitu chochote cha maana zaidi ya kuwa na mama nyingi kuliko hoja za kuwatetea wananchi
 
Back
Top Bottom