Tule chapati na kitimoto roast

Hongera, napenda mwanaume anaeingia jikoni kupika sio mwanaume hata kujipikia chai tu hawezi.
 
Mm kitimoto bila mboga mboga HAPANA!!
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kwa kweli nimekula hiyo chapati ila sijaipenda ila hii kitimoto kwa kweli uliipatia, nashauari serikali ipunguze bei kitimoto hapa nchini ili wananchi wote wapate kuila na kuwa na afya nzuri.
 
Mzee baba umetisha.
Endelea na moyo huo huo wa kumheshimisha mkubwa wa jiko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…