Tukutane NMB, Mshahara umetoka

Kumbuka pia mara nyingi mwezi wa 7 mishahara inachelewa kwa kisingizio Cha budget
 
Awaongeze pesa,maisha yame_change,gharama za vitu alizozikuta kipindi tunamkabidhi nchi na leo ni tofauti,mshahara ule aliowakuta nao watumishi now haukidhi mahitaji yao,kuwapa mshahara sio tija..
Wale wa mishahara naona wanacheka Kwa mbali sanaaaa.Wameingiziwa Mapema Sana mwezi huu
 
mwezi ujao wakichelewesha mpaka kwenye tarehe 27 hivi kuna watu wanakufa na mawazo na vidonda vya tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…