Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 148
- 259
Habari JF-members!
Ni dharau gani walikuonesha watesi wako ikakupa moyo wa kupambana zaidi?
Ni dharau gani walikuonesha watesi wako ikakupa moyo wa kupambana zaidi?
Astakafiru😀😃😄😁Just imagineView attachment 3545655
Angeanzia UVCCM huko, mwisho ana ukwaa ubunge.Just imagineView attachment 3545655
Nasikia ni shogaAngeanzia UVCCM huko, mwisho ana ukwaa ubunge.
Sijajua CV yake upande wa Elimu, lakini km Baba Levo ni mbunge, ndo ashindwe yeye??
Ndugu ni jauMambo ni mengi sana watesi wangu ni pamoja na ndugu zangu
😄😁😁Waalimu walinidharau wakadai kuwa sitafaulu jambo lililonipa hasira nikapambana hadi nikafaulu.
Leo hii nina elimu ya hapa na pale!/today I have an education of here and there!
Monetary doctor Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr.
Shoga hawezi kuwa mbunge??Nasikia ni shoga
Sijui.Shoga hawezi kuwa mbunge??
Kampeni ya leo sio poa mkuu😅Just imagineView attachment 3545655
Ana miaka mingi kwenye game huyu tangu kachafu kachafu sikuhizi anang’aa hivi🫴🏾Nasikia ni shoga
OukSijui.
😂😂😂😂😂Ana miaka mingi kwenye game huyu tangu kachafu kachafu sikuhizi anang’aa hivi🫴🏾
James delicious alifariki zamani cc rubiiAna miaka mingi kwenye game huyu tangu kachafu kachafu sikuhizi anang’aa hivi🫴🏾