Sema kuna James Delicious mpya. Lakini yule kijana wa Kisukuma alikufa na uthibitisho soma hapa chini.Alifariki linii? Wakati yupo tena kaolewa huko Mtwara, ndo maana yuko kimya mitandaoni.
Ila wenye access nae wanajua yupo na Pa kumpata.
Aliyekufa ni KAOGE, James Delicious sio msukuma, ni Mgogo wa kutoka Dodoma mpwapwa.Sema kuna James Delicious mpya. Lakini yule kijana wa Kisukuma alikufa na uthibitisho soma hapa chini.
Nakumbuka kuna mwana JF alihudhuria mazishi yake ndo maana nikampa kaboni kopi
Hii ni kwa ajili ndugu Paul Christian Makonda aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa - DSM
The only one thing in this weak world..maisha hayanaga kutoka draw. "In this weak world, life has no draws - there are only outcomes"Waalimu walinidharau wakadai kuwa sitafaulu jambo lililonipa hasira nikapambana hadi nikafaulu.
Leo hii nina elimu ya hapa na pale!/today I have an education of here and there!
Monetary doctor Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr.
Kaka hapa nimekuelewa sana.The only one thing in this weak world..maisha hayanaga kutoka draw. "In this weak world, life has no draws - there are only outcomes"
Kipindii icho niliamini shule ndio Kila kitu...ilikua hata ukiniletea kitabu kipi nikishindwa kuelewa concept basi nitaikariri ivyo ivyo nilikua sinaga muda wa kuzurula au kuchezea Mimi ni ndani ndani shule..
MWISHO WA SIKU NIKAJA KUGUNDUA KILA KITU NI ILLUSION KWA SASA NAAMINI KAMA UNAKULA VIZURI, UNAVAA VIZURI, UNALALA PAZURI NA PESA MFUKONI YA HAPA NA PALE HUIKOSI HICHO NDICHO MUHIMU KAKA NDEGEEE