Mchaga chali! yaani hata vibar vya mwembeni vinajaa! Ila service iliyopo HISAJE ni exclusive aisee!Usinambia wamemnyang'anya Mchaga wa watu Seydou.Seydou tulianza nae tangu Madrid Bar, tukaenda nae Fairway na sasa yuko hapo.Kudadadeki lazima kesho nije.Nitakuja na memberz kama 4 wa JF, Nije kuwaringishia kiota chetu kipya.
Heheheheeh yani we unamwelekeza Madame B bar za pande hiyo? Anzia Mwenge mpaka Tegeta humwelezi kitu. Sasa kwa kuwa nshapata taarifa kuwa Yuda Iskariote kishachukua mlungula, leo msiba wa Yesu ntakuja ufanyia hapo Hisaje. Ofkoz ni baada ya kupiga minyama pale Fyatanga. Jiko la Hisaje Baaaaado sana.... wanapumulia mashine ukilinganisha na Fyatanga.Madame B karibu sana kiwanja hiki kipya kinachoaminika kama Bar kali sana hapa mujini kwasasa. Kabla hujaanza Bunju ulizia Boko magengeni ndipo tunapojificha siku hizi!
Heheheheeh yani we unamwelekeza Madame B bar za pande hiyo? Anzia Mwenge mpaka Tegeta humwelezi kitu. Sasa kwa kuwa nshapata taarifa kuwa Yuda Iskariote kishachukua mlungula, leo msiba wa Yesu ntakuja ufanyia hapo Hisaje. Ofkoz ni baada ya kupiga minyama pale Fyatanga. Jiko la Hisaje Baaaaado sana.... wanapumulia mashine ukilinganisha na Fyatanga.
CC: Kongosho, KakaKiiza.